Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yani tabu tupu
 
Kuziona ndio shidaaaa....
 
Mimi najipanga mkuu nitarudi August kama nilivyoaga, nitahitaji ushirikiano wenu sana maana nitakuwa sichezi stake chini ya laki tatu


All the best Wa Kusoma, najua utakua unatupia kimya kimya ... kusubiri mpk August ngumu. Atatokea mdau kapiga hela lzm uahirishe kusubiri August ... hahahaha
 
BET LOST .... Hata Fourfold mchawi yumo (Geylang) ... grrrrrrrrrrrrrrrrrr
Nliangalia ktk game 5 za mwisho Home Utd hajawai kumfunga Geylang ... leo ameona atoe gundu na kunikosesha hela.
Ndio nasemaga hata uweke single kama kuliwa kupo utaliwa tu.....hakuna namna ingine
 
Ndio nasemaga hata uweke single kama kuliwa kupo utaliwa tu.....hakuna namna ingine


Kweli asee ... daaamn !!! kwenye huo mkeka yeye ndo mwenye odds ndogo kuliko wengine af kazingua ...mxiiiiiuuuuuuuuuuuuuuu, bora ngewapa 12 (majuto mjukuu)
 
Hongera BET-1,110,066 / TZS 3,500.00 Fivefold umeshinda 6,815.37 Baki lako ni 8,315.37 TZS
www.Mkekabet.com, 0745100777/0655112222 18+











Nilijiongezea Mtaji Jana Kabla Ya Kubana Mapumbu Leo.
Hapa Nasubiria Atakaembwera *****!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…