Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
wakuu sisi wa mikoani hatuwezi cheza kampuni nyingine zaidi ya mbeti ?
jamani huku kwenye U 21 kuna pesa za bule jaribuni kubet coz France hadi sasahivi anaongoza kwa goli 5 mechi badi inaendelea kwa wale wa over 3.5 tumeshakula mpunga mapema
Jaman inawezekana kuwi hdraw via mpesa na tigopesaj kutoka iplay& casino
Haya leo twacheza
Dah, jana spain kaninyima laki 8. Timu 11 yeye tuu ndio kazingua.
Lete mkeka mkuu tuuchakachue