Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Makabi na Austria wanaweza kuwa majipu leo ngoja tuone
 
Inaitwa game over Austria wien kaharibu mapema kweli daaah
 
Huu mchezo kweli mgumu ukijaribu hivi inatokea vile ukifanya hivi kinatokea kile aiseee
 
Inaitwa game over Austria wien kaharibu mapema kweli daaah
Root usikate tamaa, tunaomba wafungwe speed governer na kwa vile sisi tuliobet 2+ ishatoa nadhani maombi yote yapo upande mmoja.

Wasiwasi wangu ni kama kuna waliobet zote zifungane ndio wanaomba kinyume chetu
 
Hali ilikuwa ni tete, kwa leo alikuwa ameshanipiga 40K ... nikaona ni upuuzi ngoja nimuendee "In-Play" kwa dau la 100K ... ndani ya nusu saa nimeshampiga 100K na usheee ...



Inanitosha kwa leo, ntalala kwa amani. Kesho tena mweno ni in-play tu hakuna namna.
 
Sijui kama huyu Austria atazuia kufunga
Na dakika zimebakia 15
 
Mkuu in play nzuri sana kama kuna friendly match. Mimi imenikuzia mtaji sana,nina mda mrefu sijatupia hela kwenye account ya meridian.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…