Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nmeshindwa kusubiri kesho ... ngoja nimskizie na haka kamkeka. Leo narusha ndoano moja tu.

 
Nyinyi mnaobeti mnaacha kufanya ya kulijenga taifa lenu nitawashugulikia na ninaposema nitawashugulikia, ninamaanisha na nitawashugulikia kwelikweli . Mnashindwa kufanya kazi mnakaa kubeti kubeti kubeti, nasema lazima niwapasue hayo majipu ya kubeti. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, nawambieni nitawatumbua kweli kweli.
 

Naona umeingia chumba cha wanaume. Toka kiustarabu
 
Leo pesa yangu itarudi, mark my sentence

Consadole half time win
Marhem win

Stake ndeeeeeefuuuuuuuuiuiu


ACHA TUFE WOTE ASEE HAPO KWA Consadole first half win anatamanisha odd 2.26
ngoja nisake za kuongezea ss timu hata mbili

all the best
 
We kisu cha ngariba nitaanza na wewe kukupasua hilo jipu la kubeti, unashindwa kufanya kazi unakalia kubeti. Ninaposema hivyo namaanisha.
Tulia wewe nenda MMU umekosea forum wew. Haa kamchezo watu wanaingiza hela ya kukuweka mjini na familia yako na ule bata uchoke bila kuadhiri shughul ya broker wa kubett. Hii ni starehe kama starehe nyingine Ebbo!
 
Aisee hio app nimechukia duh Jana ilikuwa hela njenje wamebashiri wamekosa nne tuu wamepatia zaidi ya kumi na tano
 
Kuf
 
Usiache kutumia vidonge vyako ...Uchizi hauponi shauri yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…