Buddy hivi ukiweka laki ukala elfu ishirini kuna tatizo gani? Au kama huna hela kwa nini usiweke elfu kumi ukala buku mbili?Kutokuwa na hela ya kutosha ni kubaya sana ... hiyo game ikiipa Over 2.5 kwa 1m unapata 200K za wazi kabisa ... yani ni nje njeeee ... coz unahitaji goli moja tu hapo na lazima litapatikana second half
Lkn vile vile kuna muda huwa linakosa, hujawahi kushuhudia mechi inatoa goli nne first half baadae kipindi cha pili ziro.Kutokuwa na hela ya kutosha ni kubaya sana ... hiyo game ikiipa Over 2.5 kwa 1m unapata 200K za wazi kabisa ... yani ni nje njeeee ... coz unahitaji goli moja tu hapo na lazima litapatikana second half
Anakuwa mkaliiiiiii ...... amevurugwa kabisa.... anaweza kumtuma mtoto amleetee chumvi wakati anakuywa kahawa .... ni shida sanaHahahahah ...
hahaha bet won asee... tenaa meridian wao waliweka 2.3 oddsMkekabet wameweka both team to score ya Juventus 2.1 hii HT. Na dk za mwisho Tottenham kacheza mpira mzuri mimi naweka 50,000 nipate hela ya jioni
Buddy hivi ukiweka laki ukala elfu ishirini kuna tatizo gani? Au kama huna hela kwa nini usiweke elfu kumi ukala buku mbili?
Hivi unaiona elfu 2 hela ndogo kweli, tamaa hizi ndio hutugharimu sana Buddy
Sijui kama kuna aliyenifuata, mimi nimepata ya mboga tayari, assume ningeweka laki tanohahaha bet won asee... tenaa meridian wao waliweka 2.3 odds
Lkn vile vile kuna muda huwa linakosa, hujawahi kushuhudia mechi inatoa goli nne first half baadae kipindi cha pili ziro.
Mimi nimeweka ka 50 Juve apate goli
Mimi niliweka 10k meridian ulipotip tu!!!Sijui kama kuna aliyenifuata, mimi nimepata ya mboga tayari, assume ningeweka laki tanoView attachment 371214
Hivi m-bet hawana over/under 1.5?
Owkey kiongoziWana 2.5 over/under
Punguza timu weka mikeka miwililipatikane angalau goli moja kipindi cha pili.... odds 3.9 kazi ni kwako, ulipo tupo, unaweza kumuongeza Dinamo zagreb pia... ana 1.19 ,odds jumla 4.64
Mtoto wa nzi hio ni kampuni gani mbona kama m betlipatikane angalau goli moja kipindi cha pili.... odds 3.9 kazi ni kwako, ulipo tupo, unaweza kumuongeza Dinamo zagreb pia... ana 1.19 ,odds jumla 4.64
Hahahahaa...afu unatuita sisi makomedinz, afu mtu anarudi mikono mfukoni macho mekundu.