Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

***** ck ukicheza magoli watu hawafungani ck ukicheza wasifungane ndio balaaa migoli hiyoooooooooooooo .. august 13 loading turud kwenye ligi tunazozielewa
 
Nimegundua mkeka bet wanabadilisha timu jana nimecheza gg ya brechin na st johnstone leo sahv nachek eti wamebadili timu imekuwa eti niliweka motherwell na est aisee
 
Wezi wazuri sana aiseee ndo mana wamezingua kwenye kuona mikeka hadi uingie kwa pc au badili simu kama desktop wamenishangaza narudi meridian rasmi
Hahaha...mie meridian nilitoa 40,000/= jana, usiku naangalia 20,000/= imerudishwa kwenye account na 20,000/= nyengine haipo kwenye reserved na wala haijaingia M Pesa, washenzi sana.
 
Iyo error hutokea mara odd ulizobet zimebadilika wakati wewe bado hauja place a BET
Inazingua sana yani afu ukute una match tano za 2+ kwenda kuzifukunyua unachukua mda ukirudi odd zimechange unakumbana na Error unaanza upya mpaka match zinaana. Mi naona Bora wangeacha ilivyochokuwa zamani ukiwa unasubmitt inakwambia odd zimechange unaclick ok unaendea ilikuwa bomba sana.
 
Jiangsu suning win
Guangzhou R&F win
Shanghai shenua2+
Tujadili hao wachina hapo wakuu kuna odd kama 6
 
Buddy&Wakusoma, mtoto wa nzi vp hao wachina wa saa nane mnawaonaje hata kwa 2+ wanaenda hao
 
Buddy&Wakusoma, mtoto wa nzi vp hao wachina wa saa nane mnawaonaje hata kwa 2+ wanaenda hao


2+ au 3+ kwa wote watatoa bila shaka !! ... kwenye hiyo FA Cup yao hao wachina wanafungana sn. Uliona jana Beijing Guoan 1-2 Guanzhou Evergrande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…