Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Mkuu hizi mambo inabidi kuondoa gundu.... Nimeweka nimetoa, naweka natoa teNA baadae.... Walau niwapoteze maboya.. Kama kwenye kamari unageuza shati unageuza ndala upepo unakujaHahahahahahaa umenichekesha sana mkuu
Si ndio faida yenyewe sasa...Afu meridian ukitoa wanakupa na hela ya kutolea
Kifupi walikuwa vzr before kuliko walivyo sasa. Awali ilikuwa ni rahisi kujua ipi umeshinda na ipi umelose. It's a horrendous upgrade I would say. Waturudishie mkekabet yetu ya awali ... Kwanza walikuwa na rangi moja ya blue ilikuwa inapendeza zaidi.
Hahaaaahaaaaa...... Hata Mimi Jana nimeweka 5000 nkatoa 4000 fasta ikaingia.... Maana unaweza ukawa unafanya kazi ya kuweka tu .... Walau na Mimi nimetoa..... Hata kama ni yangu ....Mradi nimetoa nimeridhika .... Nairudisha tena afu Natoa tena.....
Hahaaaahaaaaa...... Hata Mimi Jana nimeweka 5000 nkatoa 4000 fasta ikaingia.... Maana unaweza ukawa unafanya kazi ya kuweka tu .... Walau na Mimi nimetoa..... Hata kama ni yangu ....Mradi nimetoa nimeridhika .... Nairudisha tena afu Natoa tena.....
Good good MC chere. Sema hizi mechi za ICC sio zakijivika mabomu. Timu nyingi zinajaribu wachezaji. Sema kunaoption ya toress kufunga goli hiyo imekaa poa.Sina mtaji kabisa wapendwa,ila kamateni hii wenye stake zao.
MECHI ZA SAA 7 HIZI
-Atletico Madrid WIN 1.95
-Bentleegh greens WIN 1.41
TOTAL ODDS 2.7
This selection is safe 95%.
CC.Wa kusoma,bologna,Root,Mr Wise etc. wekeni mastake yenu hapo,naamini hamtajutia,mkila mnikumbuke japo buku 5,000 ya mtaji tu wandugu.
In addition mech hizo zitatoa zote GG na safe kwa 85% hasahasa mechi ya Tottenham GG haiepukiki and definately that match is still safe to select 2Y.
Thanx in advance wapendwa,leo kanji arudishe pesa sasa.
Huu ni uchawiBologna,kila siku najifunza kitu kutokana na research yangu kwa ajili ya msimu mpya,research yangu ilikuwa ni kuangalia odds fulani,
kwa mfano.
-Away timu akipewa odd ya 1.95,1.31,1.83,2.16 ushindi hauepukiki kwa 95%
-Away timu akipewa odd ya 1.51,1.89 hapo kupoteza kupo kwa 95%
-Home timu akipewa 1.84,1.23,1.51 ushindi hapo ni 95%
-Away team akipewa 2.29,2.12,2.07,hapo gg ni 95%
mark my words bologna
wametoa niliwapa over 0.5 ht kwa 20kNaona Atletico Vs Tottenh wanakataa kutoa goli first half
Wametoa tayari.Naona Atletico Vs Tottenh wanakataa kutoa goli first half
Naona Atletico Vs Tottenh wanakataa kutoa goli first half
vipi gg haipatikani hapa?Naona Atletico Vs Tottenh wanakataa kutoa goli first half