I0-1 ( first half 0-1 goal ) inatoa sana cku hiz
+ Moldova, Iran, Hungary,Kwa ligi za Brazil inatoa sana
Mkuu Hongera sana..mchana huwa nakua kazini hivyo siingii humu jf, ningekufata hapa. Kweli tea, zote zilikua za ushindi hizoWa kusoma njoo hapa,kivipi umesema huu ni uchawi kwenye uchambuzi wangu kutokana na odds? hlf niliwaombeni mtaji wa 5,000 kuwa mpeni atketico madrid na bentleagh greens WIN total odds ilikuwa 2.7 na nikawambia ni safe kwa 95% nacheki saizi nakuta imetiki.
Wa kusoma,
Bologna,
Root,
Mr wise.
Kujeni mnipe ka mtaji.
Flora Tallin
Sarposborg
Club brugge
ALL WIN.
Crb kachapwaNautico
Crb
ALL TO WIN..
Jana ninepigwa 70kAmkeni wazee wenzangu kumekucha..
Hehehe...pole sana mkuu, niko nakusanyakusanya hapa za weekend kwenye baseball.Jana ninepigwa 70k
Amkeni wazee wenzangu kumekucha..