Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
Duh..mchezo hauishi huu na nimewekeza hisa zangu zote hapa, mwenye 1M aweke Sri Lanka ashinde (1.4) live mkeka bet, zimebakia 2 wickets na Australia hawezi fikisha 100 runs kwa 2 wickets, hela ya wazi kabisa hiyo muiwahi.Pesa ya wazi hii, naifata, nangoja Sri Lanka ashinde nihamishie pesa Premier.
unatoa then itakuwa reserved kwa mda then wataitransfer kwenda mpesa yako baada ya mda kidogoNatoa 15 inazingua mbaya haitoki.
Jamani tuwekezeni huku huko kwingine Magufuli kapabana sana
Jamani tuwekezeni huku huko kwingine Magufuli kapabana sana
D
Duh..mchezo hauishi huu na nimewekeza hisa zangu zote hapa, mwenye 1M aweke Sri Lanka ashinde (1.4) live mkeka bet, zimebakia 2 wickets na Australia hawezi fikisha 100 runs kwa 2 wickets, hela ya wazi kabisa hiyo muiwahi.
seeing is believingNazima simu wadau
View attachment 373301
Hapa kuna shida tayari, daahNazima simu wadau
View attachment 373301
Mkuu bado upo zamani sana,naona rockcity kashapotea pande hiziJamani tuwekezeni huku huko kwingine Magufuli kapabana sana
Kutoa meridian unAanzia sh ngap???
Bado sina mtaji,na leo nitawatupieni 3 safe odds at 95%,wenye mitaji yenu tupieni.
cc.
Root,
Bologna,
Mr Wise,
Wa kusoma etc.
Ila nikupe pole Wa Kusoma kwa kurudisha pesa kwa kanji.
pole mkuu naona mpaka akili ime jumamagamboortholomen'qagphapunamokbsg yamaze kononekalakusta **** masku ngaho ndihunilile
arbdshg
Niliwapa wote under 1.5 1st half, nakunywa safari hapa.amagamboortholomen'qagphapunamokbsg yamaze kononekalakusta **** masku ngaho ndihunilile
arbdshg
Naomba phone namba ya Premier kma unayo mkuu pesa yangu iko Angani tu
Hata Mimi ninashid na no yao. 30 IPO hewani siku ya 3 leo