Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 876
- 1,476
WesthamWesthm namna gani pale hadi saiv
Ana kamojaWestham
Sasa wewe unabet Team hata Dunia haipo,si ndio kuvurugwa huko.Glasgow Rangers Qmmmmmk
Mfate frankfurt ako na 1.57
Huna unachoelewa hapo, umeanza kuzijua timu juzi.Sasa wewe unabet Team hata Dunia haipo,si ndio kuvurugwa huko.
Yaani Sawa na kumuita Raisi wa Nchi SAMIA KASIM MAJALIWA
ππππHuna unachoelewa hapo, umeanza kuzijua timu juzi.
Toulouse na saint nani huko over 0.5 ilikuwa na odds 1.01 magoli Kama yote Europa hii ila wahuni wameona ni heri kutoka bila bila... tutafika tumechoka sanaSasa timu za saa Tano ndo zitaamua tunalala na hela au viatuView attachment 2829909
Nilivoona betpawa wanaweza kupoteza mkeka wako ambao umeshastake kutoka kwenye settled ,nilivoona wanaweza kubadili kiasi cha pesa ambacho tayari ulishabet wao wenyewe [emoji23],nilivoona wanauwezo WA kubadili bonus hata Kwa mkeka ambao umesha stake siku mbili nyuma ...betpawa Wana edit na kuficha mikeka kuweni makini.. hasara waliyoipata wanafanya kila namna isijirudie