Na maria[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Na ina rangi nzuuuur, kama ya chama cheeetu...hahahaha..(Kijani na njaaano) na picha za Wachezaji juu....ukiliwa unajipooza kwa kuangalia picha za Rooney, Maria Sharapooova.[emoji4][emoji4][emoji4]
Dah,Derry city,what u did? unambaja kwa LIMERICK na kuninyima mihela kwa mtaji nilioupata kwa hisani ya SMOKE D? Kweli kanji nouma,unarudisha hela zote na riba
[emoji57] [emoji24] [emoji24] pole mkuuHataree sn .. mm jana Molde & Varnamo wameninyima milioni sheeeenz kbs.
Leavadia Tallin wamenifanya mbaya sana.....Derry City, Derryyyyyyy ***** popote ulipo na ulaaniwe milele umeninyima mpunga daaa
pole sana but hakun kukata tamaa kwa ushirikiano huu uliopo kwa saw hyu masharubu tutamnyooshaLeavadia Tallin wamenifanya mbaya sana.....
Nilitumia mbinu ya kuweka na kutoa kumpoteza maboya.... Nkampiga .... Sasa nabeti huku nimegeuza shati na viatu kulia kushoto kushoto kulia.....pole sana but hakun kukata tamaa kwa ushirikiano huu uliopo kwa saw hyu masharubu tutamnyoosha
nilifaata hii tips mkuu .....wamezinguaHaya matimu ya Uingereza yakicheza na wababe wengine nje ya UK hazifui dafu, no wonder huwa wanatolewa mapema Champions League.
Liverpool jana kachezea kipigo: Liverpool 1-2 AS Roma
hahahahaaa daa mkuuuu hahaaaNilitumia mbinu ya kuweka na kutoa kumpoteza maboya.... Nkampiga .... Sasa nabeti huku nimegeuza shati na viatu kulia kushoto kushoto kulia.....
Acha ligi za maana zianze.... Belgium,urussi na denmark hawajaniangusha mechi zote tangu waanze.... Hivi viligi vya sijui estonia sijui Slovenia ni shida sanaKwa mwamvuli wa Mtoto wa nzi,Jumamosi ni siku ya madevu kurudisha pesa zetu maana ligi za siku hiyo kwa mtoto wa nzi madevu hana ujanja.Tunakutegemea mtoto wa nzi uokoe jahazi siku hiyo.
UnaonajeFK Karabakh - FC Viktoria Plzen
Qarabag FK
2.92
Dundalk FC - FC BATE Borisov
X
3.40
FK Red Star Belgrade - Ludogorets Razgrad
FK Crvena Zvezda
2.33