katika betting tips hizi zinajitahid sana ...
http://www.soccervista.com/soccer
Football Tips - ODDSTAKE.COM
Chief haya ma-betting tips sio ya kuyaamini sn ... yanaweza kukuingiza chaka tu .. "Akili za kuambiwa, changanya na ..."
Mfano mm jana nilirely kwa clevertips kwenye uchambuzi wa mechi ya Molde & Varnamo, nikaingia chaka. Ila kabla ya kutupia niliangalia Molde recent form yake sio nzr kb nikataka nicheze magoli (2+ au 3+) .. lkn baadae nkasema niwafuate hawa wataalam ... nikawapa double chance X2 .... grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
View attachment 374805
😱😱Sasa mtaji wote umeenda Duh!! pole mkuu..Dah,Derry city,what u did? unambaja kwa LIMERICK na kuninyima mihela kwa mtaji nilioupata kwa hisani ya SMOKE D? Kweli kanji nouma,unarudisha hela zote na riba
Hiii ndio mbinu nzuri .......Karabah
Dinamo Zagreb
Rosenburg
ALL WIN/DRAW
Odds 3.12
ALL THE BEST.
Total Odds = 7.45 (Mkekabet)Bentleigh Greens - Win
Green Gully Cavaliers - 3+
Wellington Phoenix - GG
Floreat Athena - GG
------------------------
Total Odds = 6.41 (premierbet)
Hapo napo sawa but Kwa Dundalk na BATE sioni mshindiUnaonaje
Karabaq 1x
Crvena Zvezda 1x
Dundalk v Bate mchangue unaemuani zaidi umpe double chance 1x au x2
bate or drawHapo napo sawa but Kwa Dundalk na BATE sioni mshindi
Hapo napo sawa but Kwa Dundalk na BATE sioni mshindi
Hapo napo sawa but Kwa Dundalk na BATE sioni mshindi
Vipi kwa Rosenborg na Apoel unaona mshindi????????[emoji134][emoji134][emoji134] unisaidie
APOEL Nicosia alipigwa game ya kwanza ugenini 2-1, hii ya leo atatumia vzr uwanja wa nyumbani mbele ya mashabiki wao. Itakuwa ngumu Rosenborg kuondoka na ushindi hapo.
I would go for X1 ...
Note: All in all mpira unachezwa uwanjani na lolote linaweza kutokea na kuifavour timu nyngne ... red card, penalty, wrong refereeing decisions etc!
Yaap...Nimekuelewa Braza, Rosenborg or Draw..