Inatiki. Ila kuna kitu nilitaka ku share na wewe ila sina means.Sijakuona hapa muda mrefu
Kwa hiyo nilivyoingia kwenye huu uzi nikakuta code yako ndo nikacheka
AiseeMuhindi kanivalia njuga ananikong'ota wazee toka nimlie kale ka laki 3 sio poaView attachment 2835928
Mkuu unampa nani tena pole🤔Aisee pole sana
Hao waarabu tushaongea sana Humuu mpaka tumechokaaa..Iv kuna tumu inaongoza kwa kuchana kama Ittihad?
Muhindi kanivalia njuga ananikong'ota wazee toka nimlie kale ka laki 3 sio poaView attachment 2835928
Huwa kawaidaMuhindi kanivalia njuga ananikong'ota wazee toka nimlie kale ka laki 3 sio poaView attachment 2835928
unaweza kuona kama mkosi na majini ya Kanji vinakuandama. ukistake high mkeka unachana, ukistake low hauchani.Maajabu ya betting haya nimestake buku kutafuta laki mbili na usheee imeshindikana nikaona si mbaya nikastake shilingi mia hamsini (timu kumi) kutafuta shilingi 1100 naona mkeka unazidi kutembea tu hadi natamani ningelistake 10000 asubuhi ningeliamka na Hela ya maana
Stake laki Moja ktk Mechi zilizobakia uone mrejesho wake MkuuMaajabu ya betting haya nimestake buku kutafuta laki mbili na usheee imeshindikana nikaona si mbaya nikastake shilingi mia hamsini (timu kumi) kutafuta shilingi 1100 naona mkeka unazidi kutembea tu hadi natamani ningelistake 10000 asubuhi ningeliamka na Hela ya maana
Betting ni bahat tu amnaga utalaam wala odd ndogo kuwa ndo bora
Mf Paok ana mechi sita anapata goli zaid ya 2 ila siku ukijimix ukampa apate goli 2 utashangaa hapat
Mi mkeka niliostake 3000 umekatika, nilioweka sh 65 iliyosalia kwenye account tena odds kubwa kubwa unaendelea kusogea tuMaajabu ya betting haya nimestake buku kutafuta laki mbili na usheee imeshindikana nikaona si mbaya nikastake shilingi mia hamsini (timu kumi) kutafuta shilingi 1100 naona mkeka unazidi kutembea tu hadi natamani ningelistake 10000 asubuhi ningeliamka na Hela ya maana
Mwenyewe namtegemea yeye niamke vizuri asubuhi naona anadema dema tu
Kwahiyo Kanji asingiziwi, watu wajitahidi tu ku-scroll watayapata matreni yaliyodondokaLishadondoka kitambo tuu mkuu [emoji1787]