Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mr Wise,nakushauri umpe BATE double chance kutokana na experience ninayoipata kwa mujibu wa odd aliyopewa na m bet ya 1.95 ambayo ni sure win at 95%
 
Bentleigh Greens - Win
Green Gully Cavaliers - 3+
Wellington Phoenix - GG
Floreat Athena - GG


------------------------
Total Odds = 6.41 (premierbet)
Mkuu kuna mchawi kazamia duh!! Green Gullly...Mamaeee
 
Mkuu kuna mchawi kazamia duh!! Green Gullly...Mamaeee


Hahahah ... football is CRUEL. Green Gully kapiga magoli ya fasta fasta (dk 86 & 92), namsubiri Bentleigh Greens akaze ... wako dk za nyongeza.
 
Jamaa wamesawazisha dk us 96


Daaah, ukiskia kunyang'anywa tonge mdomoni ndio huku. Jamaa pamoja na red card wanasawazisha dk ya 90+5, watu wanaenda Extra time.



Yani dk ya mwisho wa game BET inabadilishwa kutoka WON na kuwa LOST ... mamaaaeee Kanjibah, hahahaah ... haya bana.

 
Imeniuma sana hiyo, game pesa nlioweka ni ndefu mnooo afu wanasawazisha dk ya mwisho kbsa


Chief ndo maana sometimes tunasita kuweka ushindi wa jumla ... hiyo game bora ningeweka "3+" au "Both Teams to score" ... hatareee sn.
 
Huu mchezo bhana, ukijaribisha UNAKULA, ukifanya kweli UNALIWA... Daaaah
 

Attachments

  • won.png
    4.3 KB · Views: 34
Bentleigh Greens - Win
Green Gully Cavaliers - 3+
Wellington Phoenix - GG
Floreat Athena - GG


------------------------
Total Odds = 6.41 (premierbet)


ZOTE ZIMETOA 3+ (0VER 2.5) na GG (BTTS)
 
chief nisaidie kuchambua over ka
Mkuu weka link yao..... Nawagoogle kwa hiyo GOALS SCORED siwapati
sorry nilitoka kidogo Chief The best betting picks
 
chief nisaidie kuchambua over ka

sorry nilitoka kidogo Chief The best betting picks


Chief, leo over sizioni nyingi baada ya hawa waAustralia ... jaribu kwa hawa Lithuania (A Lyga), Germany (Regionalliga Bayern) & Club Friendlies

Atlantas (1.73)
Bayreuth (1.34)
Unterhaching (1.53)
Schalding (1.66)
B. Monchengladbach (1.50)
Konyaspor (1.63)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…