Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haya mambo ya kubet haya siku nitakufa Kwa ugonjwa wa moyo, yani Nina wiki ya Tatu sipati usingizi Kwa kufatilia mikeka tu afu ajabu inachana, yani kulala kwangu ni asubuhi ya saa kumi na moja
Pole mwalimu Mpwayungu. Yaan hicho kishkwambi ulichopewa msaada na serikali ndio unatumia kwenye kubetia?
 
Oooh, kitambo sijaitumia BP
Kumbe Ina muda.🙏
Ndo vizuri...mi nakuambia ukitoa invigilator wa odds 5 2 1 na nusu ambae angekuwa anashinda more money in sportybet...hamna mtu anashinda hela ya maana tokea betpawa wafanye uhuni...watu wanalazimika kuweka odds kubwa options ngumu ili wapate bonus nzuri afu ni vilio tu kila siku... sporty Kuna hela nzuri, Kuna auto cash out..still they won't understand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…