Full time 6-7 Bentleigh
Nimechelewa kuangalia...[emoji22]..Nimeshajilipua na Rosen or Draw.....Mungu aone haja ya mja wake.
Hiyo Green Gully haijatoa 3+
Mimi niliachia 2-1 hivi nikakata tamaaKwani matokeo ya 2-2 sio 3+ hiyo? Au we mwenzetu bado uko Analog matokeo yanakufikia baada ya nusu saa?
Mimi niliachia 2-1 hivi nikakata tamaa
Chief, leo over sizioni nyingi baada ya hawa waAustralia ... jaribu kwa hawa Lithuania (A Lyga), Germany (Regionalliga Bayern) & Club Friendlies
Atlantas (1.73)
Bayreuth (1.34)
Unterhaching (1.53)
Schalding (1.66)
B. Monchengladbach (1.50)
Konyaspor (1.63)
Mimi niliachia 2-1 hivi nikakata tamaa
dah jamaa wamenisikitisha sana goli dk ya 96???
Mkuu naona ulibaki na fisadi moja ya mwisho..... Hahaahaaaaaa kwa uzoefu hiyo 660 ndio balance ya mwishoHuu mchezo bhana, ukijaribisha UNAKULA, ukifanya kweli UNALIWA... Daaaah
Mimi niliachia 2-1 hivi nikakata tamaa
Mkuu 3+ maanake kuanzia magoli matatu na kuendelea. Matokeo ya 2-1 tayari ni 3+ hiyo. Kwa taarifa yako (fyi).
Kwani hesabu ulizofundishwa 2-1 ,jumla yake ni 2 eti.....
Mbona leo wameweka ttimu chache sana yaani tano tuJamaa kumbe wako vzr kwenye Basketball pia ... saiv ntakuwa siumizi kichwa. Natafuta Odds 2 humu humu BankoCep
View attachment 374859
Total Odds = 15.78
Wadau tushindwe sisi tu sasa. Andaa kilo yako, tafuta Odds 2 unapata faida kilo kwa cku maisha yanasonga.
Hawawekagi zote aseee..... Wanaweka kwenye uhakika Nazo angalia tip za nyuma...hawaweki mechi zote.....Mbona leo wameweka ttimu chache sana yaani tano tu
Mbona ninajaribu ku deposit via mpesa inakataa? jana nimedeposity na kufuata instruction zao zote lakini leo mchana fedha imegoma kuingia kwenye betting account na kurudishwa kwenye account yangu ya m pesaMkuu je ukitaka kuaad namba ya vodacom kwenye premier unafanyaje coz kuna error inatokea
Utakuwa umekosea reference numberMbona ninajaribu ku deposit via mpesa inakataa? jana nimedeposity na kufuata instruction zao zote lakini leo mchana fedha imegoma kuingia kwenye betting account na kurudishwa kwenye account yangu ya m pesa
reference number siyo sawa sawa na account id yangu kama kwenye meridian?Utakuwa umekosea reference number
ππ tuimbe kwa sauti kuuu hiii ndio aaaaaa aaaa aaaaa aaaaaaa ina mkia mreeefuuuuu aaaaaa aaaaa aaaaaaaaa........reference number siyo sawa sawa na account id yangu kama kwenye meridian?
Poa mwalimu !! naddani sasa nikikosea adhabu ya viboko inanihusu. ngoja nijaribu kutafuta odd 5 za under 2.5 in first half au droo in 10 minutes nione kama kitaeleweka.ππ tuimbe kwa sauti kuuu hiii ndio aaaaaa aaaa aaaaa aaaaaaa ina mkia mreeefuuuuu aaaaaa aaaaa aaaaaaaaa........
Ndio Hivyo mkuuu tena unabahati baada ya kulalamika sana na kutishiana kuwashitaki siku hizi ukikosea wanarudisha zamani alikua ndio ntoleeee.....
Iko hivi ukiingia kuna sehemu pale chini ya account name imeandikwa deposits utaclick ....utachagua kampuni unayotumia Tigo / vodacom .... Utaingiza kiasi unachotaka kuweka unaclick OK ...inakuja kuconfirm unaclick wanakuletea sasa REFERENCE Namba ya kutumia ... Unaenda kwenye malipo unalipa (ila ulipe kiasi kile kile ulichokiandika kukiombea reference ukiweka kiasi tofauti haiendi).....