SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,517
- 5,049
Tumeongea Nini na we unafanya nini73B237D betpaw
Hapana nimetoboa kwasababu nilisema huyo wa nyumban(Cercle Brugge) ndo atoe under 3.5 na mechi imeisha 1-3Kwa Bayern umechomoka umekamatwa ma Royal Antwerp 🤦♀️
Betting 🙌
Haha Nani alitegemea Bayern kupigwa 5? Nani alitegemea Man U kupigwa 3 mnunge? Kanjibahi anajua kutula vijisenti vyeti tunaoweka direct win maamae😩🙌Mimi live alipigwa goli nikacheza live mkeka wa kwanza nikaweka 50k nashinda 90
Nimekaa dak zinaendda odd zikapanda nikaweka tena 100k apaate goli mbili nashinda 300 na ushee
Dak ya 90 wako 1-1 nikacash out mkeka mmoja nikarudisha 100k niliyobet si wakapiga cha pili so nimeshinda ule mdogo wa 90
Nimekuja bayern kapigwa 3 nikampa apate goli mbili imelala yooo sahiz nataman kumpa man u apate goli ila naogopa
Kwenye kutoa piah uje piah kusema hatukukwambiakumbe 1xbet tayari wana tigo pesa na hamsemi
What happened?kuanzia leo Mimi na Cash OUT
bye bye bye
Mzee baba nini kimekukuta?😄kuanzia leo Mimi na Cash OUT
bye bye bye
Yupo vizuriAna bonus Kama ya betpawa zamani?
Kwani alikuwa anaiba?Hivi Betway ameshaacha UTAPELI! na WIZI wake!? Ama amepunguza!?
Hiyo option mbovu saana hupati chochote, ukiweka over 1.5 timu ya bayern Kwa dau la laki mbili inaleta faida ya elfu tatuoption ya magoli itabaki the best, hata kama huwa kuna 0-0 au under 1.5 ila huwa ni chache sana ukilinganisha na hivi vipigp vya direct win
NimeonaHapana nimetoboa kwasababu nilisema huyo wa nyumban(Cercle Brugge) ndo atoe under 3.5 na mechi imeisha 1-3
[emoji81][emoji81]tuna malzia stake iliyo baki. Kui amishia kwingne itakua uchawiTumeongea Nini na we unafanya nini