atapataJamani arsenal hata goli moja limemshinda kweli
Ubinafsi huo sio kila mmoja anapenda matreniYaani humu ni mimi tu ambaye silalamiki, mikeka yangu yote miwili ipo buheri wa afya. Msiniulize mbona sijatuma code, humu watu hawapendi odds 1.7 au 2. Humu wadau wengi ni matreni.
Arsenal aseeeh imeenda hiyoatapata
wydad na simba wakitoa goli 2 ni bahati
Hata hivyo binafsi nailaumu sana TFF kwa kutuharibia timu,,,,,,,wydad na simba wakitoa goli 2 ni bahati
sina haja ya kuchungulia mikeka yangu... najua imechanika yote..
Give credit to the cooker! Ungeflex by 2 hizo odds 419 ungekula!.... By then .. it's a last cook from JITU BANDIA!Mi nilikuwa na mmoja tp mazembe na mwenzake wameona washindwe hata 0.5 ili mradi na wao wahusike katika kumchangia kanji siku ya Leo..
Leo ni leo, asemae kesho muongo[emoji23]Tusiwe tunashare zilizo win tu hata zilizochanika pia
tren 7 zmeangushwa na timu tatu
Arsenal over 1.5
Man U over 0.5
Bayern win or draw
View attachment 2838051
Vipi Sporting Lisbon mkuu[emoji16]Arsenal basha wake ni wangese
Niliuedit afu mambo ya kuflex sijawahi elewa mechanism yakeGive credit to the cooker! Ungeflex by 2 hizo odds 419 ungekula!.... By then .. it's a last cook from JITU BANDIA!