Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Inapasa kwa sasa tustake vi sh 100 , 100 maan weak hii inamatokeo ya ajabu sana , hata vikiliwa hai pain sana.
 
Kubeti shida tuu.. Yani mechi ya Atletico Madrid imetoa kadi 1 tu ya njano tena dakika za nyongeza na mechi imeisha. Wanacheza kwa upole sana.

Kuna League Booking ni za Kutafuta. Angalia Refa anaye chezesha, na League yenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna Marefs Kutoa Kadi ni Isshue

Kama Michael Olive yulee hadi damu itoke ndio anatoa kadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…