Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

***** huu utapeli mtupu nishawali lipia kwa jamaa siku akibahatisha anaomba unitumie tena chochote. Anasemaga tutume screenshot . Anachukua won ticket huko analeta kujifanya yeye mwamba hili uvutiwe .

Kama unashinda accurate daily kachukue mkopo benki halafu halafu uweke upate mahela mengi
 
Sorry wakuu nilibetia game ya Granada na Ath Bilbao nilimpa Ath Bilbao ashinde au a-draw ila game imekuwa Interrupted wakati Ath Bilbao akiongoza kwa goli moja, hii inakuaje wakuu
 
Huyu jamaa ni mpumhavu Sana na anajua atumfagiliii
 
Primierbet nimejaribu kutengeneza mkeka mrefu tu nikajaribu kuweka elfu kumi lakini wameniwekea limit ya elfu 2 hii imekaaje wadau.Nasaka kampuni ambayo unaweza piga hata milioni 100
 
Roma - Fiorentina
Roma 0 Handicap

Barcelona - Girona
Barcelona to Win

Odds - 2.07
 
Sorry wakuu nilibetia game ya Granada na Ath Bilbao nilimpa Ath Bilbao ashinde au a-draw ila game imekuwa Interrupted wakati Ath Bilbao akiongoza kwa goli moja, hii inakuaje wakuu
Kuna shabiki aliyekuwepo uwanjani amefariki wakati game inaendelea ..soma sheria za hiyo kampuni uliotumia wameandika, wengine wana-update automatically ila wengine baada ya masaa 6 na wengine hadi 12.

Mfn..kuna kampuni hawahesabu kadi za benchi la ufundi bali kwa wachezaji tu, kwahy zisome.
 
Natumia sportybet, ngoja nijarbu kusoma soma
 
Nimekutana na hii comment kwenye page yao ya sportybet (Twitter) meansi nikaushe kwa siku mbili daaah!!

Hi! When a match is abandoned/cancelled or interrupted, we have a waiting period of 48 hours from the time it was set to play to see whether it will be resumed or rescheduled to a later date. If not resumed, the game will be voided. Thanks!
 
Mikeka bhana sometimes jau Yan Jana Man u kanikosesha pesa ya supu ety baada ya kumtandika Chelsea nkaamua kumpa DC kwa Bournemouth 1x na akaamua kuzingua peke ake nkajarbu na leo Celtic pia akakataa mazoea lakin cha ajabu toka jana pamoja na timbwili zote bado nna tren la match 50 ambalo bado lnasurvive na nlishare na wana humu japo siamni kama kuna aliefata mpaka sasa limeshatoa game 30 Kat ya 50 View attachment 2838918
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…