Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ww una akili sana niliwaambia watu wakapuuza
 
Atafunga tu na game ya Jana c ajapata goli
 
una bahatii ya mtende mkuuu... hawajakupa cashout???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…