Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilichokicomment na unachokiongelea ni tofauti.... Tukana ama tania uwezavyo ila wazazi wa mtu wawekwe pembeni.
Ni vibaya sana.
Ni vibaya sana.
Ni vibaya sana.

Na ukifanya kitu kama hakijapendezwa na watu usitafute namna ya kukiweka sawa. Kubali makosa.
Stress za kubet ziishie kwa wanajukwaa....
Wazazi wawe out of this please.
 
Angalizo kuweni MAKINI kwenye kutengeneza treni mechi za UEFA & UEROPA kuna baadhi ya Timu zimesha qualify.. Sitoshangaa kuona kikosi Cha pili [emoji1787][emoji23] Sasa wewe jitie uwendawazimu ukampa DIRECT WIN umekwisha [emoji23][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…