Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sportpesa huwez ku cash out mpk mechi zote uwe umtumia 3 way.

Yaan ukibet sportpesa ili upate cash ni lazima mechi zote uwe umebet isinde,sare na ifungwe. Ukiwekwa hata DC mechi au option yoyte hta ya magoli hata mechi moja hupati cash out
 
Wakuu kati ya mechi ya Man U vs Bayern au PSV vs Arsenal ipi itatoa over 1.5

nataka nijilipue mechi moja kati ya hizo niweka mzigo wa maana

Zote zina uwezekano mkubwa sana wa kutoa mkuu

Buyern kashafuzu Man U anapiga hesabu za videlo.... ashinde na wengine wa draw ndio apite
Itakuwa open game, watafunguka sana Man U kujitutumua washinde na hapo ndipo Buyern wanakuwa hatari sana, uwezekano wa magoli mengi kupatikana mkubwa sana

Arsenal kashafuzu, PSV ni do or die
Game itakuwa open pia maana Arsenal haina cha kupoteza zaidi ya wachezaji kutengeneza profile zao na PSV itajiachia zaidi kushambulia ili ishinde na kufuzu..... hapa kuna GG

NB
Mpira unadunda [emoji23]
 
Wakuu kati ya mechi ya Man U vs Bayern au PSV vs Arsenal ipi itatoa over 1.5

nataka nijilipue mechi moja kati ya hizo niweka mzigo wa maana
Mechi ya man U jilipue over 3.5, mechi itakuwa magoli mengi sana!

Man U atataka ajitutumue asimalize wa MWISHO kwenye kundi...

Na Bayern hanaga baya!.... Ukipanua... Yeye anakuweka!...! Pia hii machi man atataka ashinde...kwa magoli zaidi ya mawili

Huku akiombea suluhu tasa,ama 1-1 kwa wale jamaa wawili wa kundi moja waliofungana magoli ili yeye man U aqualify..

Na nimjuavyo Bavarians.... Hanaga ligi ndogo mzee... Eti amequalify no!.... Ni Mwendo wa weka tuweke!

Hii mechi ina goli 5+!
 
Kwa PSV sio do or die ameshafuzu tayari na atabaki kuwa wa pili hawezi kuipata nafasi ya kwanza. Lens hata akishinda wakalingana na PSV bado PSV atafuzu kwasababu ya head-to-head inambeba.

Kumbuka michuano hii mkilingana points wanaangalia head to head na sio goal difference.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…