mwaka mzima hukujua kuna kwenda Moshi December?wakuu natafuta nauli ya kwenda moshi kesho kutwa
mwaka mzima hukujua kuna kwenda Moshi December?
"THEY GOT INTO" (WAMETATIMBA..)Na Jumapili anakutana na Liverpool aliekolea,hapo Sasa
panda gari za magazeti[emoji23]nauli zimepanda
Ukifata watu wa humu ndani utafeli mkuu...[emoji16][emoji16]DAAH ILA WAJA, NDIO NILIVYOSEMA HIVYO MKUU?
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Yaani kuna wakati hata unashindwa nini mtu ufanye mkuu, anyway tuishi tu.Ukifata watu wa humu ndani utafeli mkuu...
Humu kuna unafiki wa viwango vya juu kabisa ...
Ukila wanasema edit ukiliwa wanashangilia.
Boss naomba kuuliza, nini maana ya flex na one cut kwenye sportybet ? zinafanyaje kaziFF62FF1 edited n flexed
Tuma mikeka unasaidia wengi humuYaani kuna wakati hata unashindwa nini mtu ufanye mkuu, anyway tuishi tu.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
aisee haya makampuni yanayotumia selcom ishakuwa kipengele.. 888stars nao wamekaa na hela yangu siku ya 4 hiii naona bora kutumia makampuni yasiyotumia selcom.. MAANA UKIPATA MSG YA SELCOM MAANA AKE WAO WAMESHAWEKA HELA KWENYE KAMPUNI HUSIKA.. ILA HAO JAMAA 1XBET NA 88STARS SYSTEM YAO NI OVYOOOO BADO. utasumbuka sana inaweza chukua hata week kadhaaaa mpaka hapa bora utumie wakala hizi njia za deposit ni majanga hazitabiriki kabisa.HABARI MAAFISA UBASHIRI?
KWA MASIKITIKO MAKUBWA KABISA NATOA TAARIFA YA KUWA NIMETAPELIWA FEDHA YANGU NA SELCOM DUKA DIRECT (KAMPUNI INAYOTUMIWA NA 1XBET KWA AJILI YA KUWEKA NA KUTOA PESA) KIASI CHA TSH. LAKI MOJA (100,000).
HII FEDHA ILITAKIWA KUFIKA 1XBET KWA M_PESA KUPITIA HUYU TAPELI (SELCOM DUKA DIRECT).
WAZEE NIMEKOSA KABISA IMANI NA HUYU JAMAA SELCOM DUKA DIRECT.NIMEAMUA KUACHANA NA 1XBET KWA SASA KWA SABABU YA KUTOKUWA NA IMANI NA HUYU TAPELI.
1XBET ANASEMA DEPOSIT IMEKUWA REJECTED BY OPERATOR NA HUYU TAPELI( SELCOM DUKA DIRECT) ANASEMA PESA IMEFIKA 1XBET.JAMANI!!!!
CHA KUSHANGAZA HUYU TAPELI (SELCOM DUKA DIRECT) ANASEMA MIMI NDIYE NIWASILIANE NA 1XBET WANIWEKEE PESA YANGU!!!
ALA0BJIK200 Imethibitishwa. Tsh100,000.00 imetumwa kwa SELCOM DUKA DIRECT kwenye akaunti namba 84455476-9435728969 tarehe 10/12/23 saa 4:58 PM Ada Jumla Tsh3,000.00 (M-Pesa Ada Tsh3,000.00 + TOZO ya Serikali Tsh0.00). Salio lako la M-Pesa ni Tsh
View attachment 2841112
panda gari za magazeti
Yote iyo ulikua unaenda kumpa kanji akasomeshe watoto wake Havard sio?HABARI MAAFISA UBASHIRI?
KWA MASIKITIKO MAKUBWA KABISA NATOA TAARIFA YA KUWA NIMETAPELIWA FEDHA YANGU NA SELCOM DUKA DIRECT (KAMPUNI INAYOTUMIWA NA 1XBET KWA AJILI YA KUWEKA NA KUTOA PESA) KIASI CHA TSH. LAKI MOJA (100,000).
HII FEDHA ILITAKIWA KUFIKA 1XBET KWA M_PESA KUPITIA HUYU TAPELI (SELCOM DUKA DIRECT).
WAZEE NIMEKOSA KABISA IMANI NA HUYU JAMAA SELCOM DUKA DIRECT.NIMEAMUA KUACHANA NA 1XBET KWA SASA KWA SABABU YA KUTOKUWA NA IMANI NA HUYU TAPELI.
1XBET ANASEMA DEPOSIT IMEKUWA REJECTED BY OPERATOR NA HUYU TAPELI( SELCOM DUKA DIRECT) ANASEMA PESA IMEFIKA 1XBET.JAMANI!!!!
CHA KUSHANGAZA HUYU TAPELI (SELCOM DUKA DIRECT) ANASEMA MIMI NDIYE NIWASILIANE NA 1XBET WANIWEKEE PESA YANGU!!!
ALA0BJIK200 Imethibitishwa. Tsh100,000.00 imetumwa kwa SELCOM DUKA DIRECT kwenye akaunti namba 84455476-9435728969 tarehe 10/12/23 saa 4:58 PM Ada Jumla Tsh3,000.00 (M-Pesa Ada Tsh3,000.00 + TOZO ya Serikali Tsh0.00). Salio lako la M-Pesa ni Tsh
View attachment 2841112
Ukianza tu kuzifatilia zinaanza kuchana 😂😂😂Nitaanza kufuatilia codes zako
Big up man!