Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ngoja nikomae na hawa maana ndo niliwapa pesa wanipelekee 1xbet
 
odds za feyenoord[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
newcastle akiwa hom huwa hapotezi game kizembe,
psg hajashinda away msimu huu kwenye CL
porto na shakhtar wapo tied kwenye point 9,
Altetic vs Lazio point ni 11 kwa 10, bado top stop inagombaniwa,

leo kuna game tactical sana

namwomba crvena goli, young boys goli, porto mazima, feyenoord goli, atletico either half,
 
Mkuu unaongea sana, weka code
 
Mohhamedan na shoga yake huyo ambaye Yuko mkiani mwa ligi naona wanashindwa kutoa goli hata moja

Haya tuliye fata full time over 1.50 tukutane hapa
hawa wangesee hawaeleweki kabisaaa.. jana mumbai na mwenzake wametoka 0-0 wakati last mechi wlaifungana goli 9.. ni ligi ambayo naiweka kapuni rasmi malaya sana hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…