SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,517
- 5,049
Ndo hivyo mi tokea ule mkeka ambao mazembe alishindwa kufungana goli moji tu nikakosa odds 153 nimeona Bora niflex maana ukisema hata ucashout wanazifungia tuMi niliiacha kama jinsi ilivyo huku naendelea kufuatilia mechi Ile kuja kustuka asenal arsenal kashatangulia goli mala kidogo psv kachomoa nikasema Sasa ongezeni moja nifunge hesabu
Mala paaap dkk zinazidi kuyoyoma mama weee Wacha ni cash out Ile naamka asubuhi nakuta zote zimetiki kasolo tu hiyo moja ya asenal daaah nimejilaumu sana ningelikumbuka ninge flex mkeka asubuhi pesa ningelikuwa nayo daaaaaah.
steki hai buku 5under 2.5 Atletico Madrid
under 1.5 Royal Anterp
mnaonaje wakuu pesa ipo hapo nataka kustake high
Leo watu tunaowategemea kwa codes naona hawajatuma hadi sasaLeteni codes jamani tuedit na kuflex
Yaani acha tu sema tuchill tusionekane wavivu kufkiriLeo watu tunaowategemea kwa codes naona hawajatuma hadi sasa
ongezea, kwenye onecut hela unayopata iki-cut timu moja inakua pungufu ya stake mara nyingiOne cut ukiliwa moja unalipwa ukishinda zote unalipwa
Ila flex hela utayoflex let's say ukichana game 3 ulipwe ndo hivyo hivyo hata zitiki zote
Yah...ni jau in shortongezea, kwenye onecut hela unayopata iki-cut timu moja inakua pungufu ya stake mara nyingi
900C976 edited n flexedA7FFF8
Sportybet
Ngumu kumeza
Stake low, expect high.
Unataka kustake high afisa ubashiri[emoji120][emoji16]Wakuu naombeni odds kumi tu au tano
Unataka kustake high afisa ubashiri[emoji120][emoji16]
Half time ashinde away ila fulltime mshindi awe wa home tena na goli moja la half timeWakuu, Mimi naomba mnielekeze hii option Ina maana gani