Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
jana nimeweka timu 10 first half under 2.5 ...birmingham akapita nao.....dakk 33 ana goli 3.... ikabidi nikanywe Konyagi nipate usingiziavogadro .. under 2.5 goals first half ni possible kutokea mara nying lakini ukiweka timu chache (labda 5) kwa kufanya intensive statistics itasaidia kuwin..
Droo first 10 minutes ni ngumu sana kwa timu 10.. ukiangalia roughly statistical data ambazo zipo kwenye mtandao zinaonyesha possible goals scored kwa kila dakika ya game karibu zinakaribiana hivi na kwa maana hyo ukichukua game kumi ukaplace droo ndani ya dk 10 nafikiri utakuwa unajaribu kuona meno ya kanjibai kwenye giza.. sikushauri mkuu kwa hii draw 10 minutes kwa game 10 au hata 5..
Mkuu mbona haujaweka hasara coz kuliwa lazima..Kila kitu kinawezekana endapo utaamua kutimiza unachokitaka kumla kanji n jambo linalowezekana tena usiweke tamaa ukiweka tamaa tuu umepigwa pia kuwa na msimamo kwa unachokiamini.
Nina mfano hapa ebu jaribu kuutafakari na kuona je inawezana?.
Kwa kuanza ngoja tuone
Melbourne win 1.57n
Canbera Olympic win 1.7
Southern samity win 1.57
Zamalek win 1.57
Total odds 6.5
After VAT. 5.3.
Twende sote
UNAANZA KUJIWEKEA HESABU ZA KULIWA KILA SIKU ETI!!!!Mkuu mbona haujaweka hasara coz kuliwa lazima..
Huwezi kuzitafuta hzo billions kwa kumdhamini Chelsea ashikilie pesa zako tena kwenye bonanza.
Ndio maana yake mchawi akosekani😡😡UNAANZA KUJIWEKEA HESABU ZA KULIWA KILA SIKU ETI!!!!
Hiyo aina ya float uliyotengeneza hapo inafikirisha sana mkuu. Ila ulitakiwa baada ya mtaji kuwa mkubwa basi upunguze odds kukwepa hatari inayokunyemelea.Kila kitu kinawezekana endapo utaamua kutimiza unachokitaka kumla kanji n jambo linalowezekana tena usiweke tamaa ukiweka tamaa tuu umepigwa pia kuwa na msimamo kwa unachokiamini.
Nina mfano hapa ebu jaribu kuutafakari na kuona je inawezana?.
Kwa kuanza ngoja tuone
Melbourne win 1.57n
Canbera Olympic win 1.7
Southern samity win 1.57
Zamalek win 1.57
Total odds 6.5
After VAT. 5.3.
Twende sote
Hamna uchawi mkuu. Ni tamaa, sababu timu kama Barcelona bayern na Madrid hazimwangushi mtu. Lakini hazina odds za kutosha. Kwa hiyo unaziacha unafwata timu zenye odds nzuri unamkuta kanji anakusubiri.Hiii n kamar mkuu kuliwa n kuliwatu unashindana na muhind kwa maomb lkn hakuna anakupga tu kwa uchawi ndo kbsaa hata upande juu
Ukiwa na maseke utakua unapiga hela kila mara,, tatizo watu hawana maseke,, mi jana nimempiga mzungu supabets 2,653,000 niliweka zangu timu 8 tu kisha nikaweka mzigo wa 30,000.
Hahaha..hizi tathmini humu huwa rahisi sana ingia mzigoni sasa uone habari yake.jana nimeweka timu 10 first half under 2.5 ...birmingham akapita nao.....dakk 33 ana goli 3.... ikabidi nikanywe Konyagi nipate usingizi
Haaa pole sana Trigeminal, ukishaanza kubet ujue ushakua muathirika wa hiyo kitu kuacha ni ngumu sana yaani, ni sawa na bangi ikishakukolea kichwan hata uambiwe vipi huelew somo.... Ila wakati wako wa kupiga hela upo usichoke,, siku ukipiga utarudisha pesa yako yote, na utafurah... Mi leo nazitumia tu...Hii kitu na bahati inachangia, nakumbuka wikiend ile iliyopita nilicheza both teams score, nilkua nadonoa tim hovyo tu nisizozijua nikaweka mikeka mitatu wa sh1000, wa sh600 na wa 1500 ..nikala yote jumla kama 35,000/= baada ya hapo last week katikati nimepigwa hela yote, weekend nikaweka 15,000/= nikashona mikeka nikapigwa tena yote.. sa hv nimetulia tu nasubr ligi zianze ndo ntarudi tena huko, kiujumla nimekula loss lakini #HATUKOMI
Niwape win ama draw?Anderletch
Legia
Steau Bucurest
ALL WIN/DRAW
ODDS 2.07
ALL THE BEST.
1x kama yupo au x2 kama yupo ugenini...Niwape win ama draw?
zingne hizi hapa Zamalek total goals 0 _3 na monako 0_3Anderletch
Legia
Steau Bucurest
ALL WIN/DRAW
ODDS 2.07
ALL THE BEST.