frank gallagher
Senior Member
- Jan 12, 2019
- 124
- 126
Kuna code ya betpawa umeshusha juu cardiff na barca tu dah[emoji1787] ndo wanauaNashukuru kwa code za kuunga unga na kujiongeza nyingine fc porto kafunga mkeka nimeshinda M 28, acha nilale sasa! Kesho nayo siku
kuliko newcastle na feyenoord?Dortmund ni mafala sana
hii game nilikua naiogopa sana, sawa na ile ya celtic........ nikaamua niwape dc kilichonikuta,,,,,,Ama kweli always trust your instict... Hii game ya Milan... Hisia zangu ziliniambia kwa asilimia 99.. Milan win...nikajitosa win either half...na Porto wanawin... Na imekuwa hivyo
Mnazingua sana kwani mkiwa mnashare codes kabla mtapungukiwa niniAngalau kesho nayo siku
FREE Gift ya SPORTBETY Tsh 2,500 nikaibetia Buku mia mane( 1,800)
Roho juu kama ipasuke kwenye team mbili nilizozipa CORNERS
CORNERS Atletico vs Lazio over 7.8 ikatoa 8 corners
PSG vs Dortmud over 8.5 dakika ya 96 ndio last Corner and over,kazi ngum
Pesa ya yangu kachapwa FREE Gift inatoa,BADO Buku yao ya Free GIFT nimalizie kabla hawajaichukuwa maana Fee Gift ina expiry time.
View attachment 2841821View attachment 2841822
Hongera, ila hukutuma codeHatimae nimeimaliza miendo!
Ntakuwa nilisahau huku, ila Twitter niliiweka, ndio maana ukaona niliisevu.Hongera, ila hukutuma code
Ni FREE GIFT Mdau,ilikuwa ina Expire na nilikuwa sijaiona,so nilibet Haraka robo Saa kabla Mechi kazijaanza na wala zikifanywa analysis saana,ni Cards,Corners na Overs 1.5 tuu just like that.Mnazingua sana kwani mkiwa mnashare codes kabla mtapungukiwa nini
YesMilioni 28?
Aha basi unyama kaka nasubiria codes kutoka kwa nyinyi miambaNi FREE GIFT Mdau,ilikuwa ina Expire na nilikuwa sijaiona,so nilibet Haraka robo Saa kabla Mechi kazijaanza na wala zikifanywa analysis saana,ni Cards,Corners na Overs 1.5 tuu just like that.
Kwahiyo hata ningeweka match zilikuwa tayari on play.
My Concern on that,sio kushow that mkeka umetiki laaaa,ILA ni kusho kwamba FREE Gift ya SPORTBETY ambayo huwahainaga Cashout imeclick na hizo Free GIFT walikuwa wamezitoa now seems zimeanza,so tuwe aware nazo.
Nimehamia na Buku lao la FREE Gift the najua kesho ina expire watasepa nayo ,so Mdau kuna Mkeka wa Buku narudi nao ukiamka utajikuta na mkeka upo vizuri mnooo,maana mikeka Yangu 3 Tangu Jmosi ipo live,so na pick selections from there including these updated incoming games.
But sorry for that disappointment.
Get ready we andaa Buku tuuu
Sawa kaka tunapokumbuka tuwe tuna share na humu maana sisi wengine tunategemea codes mnazozituma humuNtakuwa nilisahau huku, ila Twitter niliiweka, ndio maana ukaona niliisevu.
83F4C8 edited n flexed9D1FC96 | SportyBet
🔞
Acha nifute hopefully sijaeleweka.
Haya usi Edit chochote please,Ili nikila tuwe tumekula wote na Ukiliwa tumelowa Sote
Weka Elfu mbili kesho tuongee Lugha koja
View attachment 2841854
Dah hiyo code sikuionaNashukuru kwa code za kuunga unga na kujiongeza nyingine fc porto kafunga mkeka nimeshinda M 28, acha nilale sasa! Kesho nayo siku
Sio mbaya nami nimeambulia. Tunaondoa gundu kumbe kanji anapigika.Hatimae nimeimaliza miendo!