Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Man utd wanaweza shida, kuna muda mende huangusha kabati.
😂😂😂 Duhh hapana si hii ninayoijua Mie.

Acha aangushe kabati nikiwa simo,ILA likimuangukia atajuta, Liverpool ameishajipata,bora niioe over 1.5 Mechi yote kuliko liverpool

Kwanza mikeka Yangu yote Mechi hiyo sijaicheza kabisaaa
 
Huyo bwege pamoja na kumfunga mwenzie 7 yeye ndo katoka
 
Kwani clean sheet no maana yake unaielewa kweli wewe?? Au kingereza mmekuja kuijulia kwenye mikeka??
Naelewa mkuu ukisema no umeruhusu goal na ukisema yes umekataa goal Kwa timu husika au ???

Sasa maana yangu ni hiyo option either no or yes kwasasa naona kma imekuwa haielewek unaweza sema yes mtu akapipgwa na ukasema no mtu asipigwe ,maana yangu Kwa ujumla match za hv karibuni naona Bora kucheza option ya over inatoa sana kuliko hz nyingn.
 
nilikua na mikeka 8, imebaki 2....
zamalek kachana 2, panathinaikos kachana 1, rennes 1, frankfut 1.......
 
Wakuu hii inakwaje, nilifanya live bet mechi kadhaa, mechi ya livepool ilipokuwa na magoli mawili nilibet over 2.5 katika ile process mkeka kukubaliwa goli ikaingia wakaandika win hawakukataa, ila wakaandika over 3.5 win, wakati mi nimebet over 2.5 halafu process goli la tatu kuingia si wangekataa,wao wakakibali wakatiki mķeka halafu wakaweka over 3.5 ambayo mi sikuweka, mkeka umetiki hiyo mechi tu ipo pending

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechanika huko mdauuuu,live betting ndio masnema yake hayooo.

Maana mtu unakuwa na harakaaa,sasa ukitulia ndio unaona mchemsho wako.

Mechi imeenda over 2.5 mkeka over 3.5, equal to Mchakao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…