BEAST FROM THE EAST
JF-Expert Member
- Feb 13, 2019
- 316
- 436
Kichapo mpaka wengine wanashindwa ku Comment inabakia kutizama tuu mwisho kusinzia ziiiii
Ungeshare tu humu mkuu. Sie tusingecash outKubet kama uchawi tu Yan mtu ushaliwa umechanganyikiwa unapewa cashout ya elfu 25 kwenye mkeka wa kushinda laki 3 na nusu unachukua halafu unatiki! Daa inauma sana sasa nahamia rasmi kwenye Kampuni isiyo na cashout maana huu sasa ni usenge! Wakuu kampuni gan nzuri isiyo na cashout kabisa? Wale wa kulalamika kila siku mara ohooo mbona hukutuma code! Huo nimeweka sa tano kasoro 10 Yan dakika 10 kabla ya mpira kuanza maana nlikuwa nshaliwa mechi za sa mbili nimechanganyikiwa mda huoView attachment 2842840View attachment 2842842
Hata wachezaji huwa wanabet na wakati mwingine hawashindi.8EB43C9 BP
Welcome Week end! Ukitaka uhakika labda tucheze sisi[emoji3][emoji95]
Unacashout wanakupa afutatu kutoka laki mbiliHii kitu sijui ni cash out au nitulie.
Kitu kibaya na kigumu kujua ....Brighton na Marseille wameona wakifungana tutafaidi...vitu kama hivi ndo maana naona Bora niflex nipate hela ndogo kuliko kila siku kulia nimekosa hela kubwa kisa mechi moja
nilipitiwa na usingizi ndio naamka hapa nakuta hakuna mkeka ulioshinda......
kuangalia vizuri kumbe betis kafungwa na kuondolewa mashindanoni....... na nilimpa dc,,,,,,
betis wa kufungwa na rangers kweli? tena home?
Sijui kwanini kwangu cash out inagoma Hata dakika ya 70Jana mechi 1 tu ya ludo ndio haijaotoa over 1.5 mechi za saa2
Na mechi ya Brighton tu kwenye gemu za saa5,
Wale wa over1. 5 watakuwa wanasherehekea!
Nimechashout mechi ya Brighton dk ya 89!.. dk 1 tu! Casout inafungwa!
hapa ndipo huwa nawakubali SPORTYBET kwa cash out.. hawana baya, kwenye cash out kbs... Waliniokolea mtaji