Bournemouth v Valencia - Y
Young Boys v Shakhtar Donetsk - Y
Steaua Bucharest v Sparta Prague - Y
Celtic v FC Astana -Y
Udinese v Middlesbrough - Y
Manchester United v Everton - Y
Usijaribu hiyo kitu kabisa. Ifuate Y ya madrid na bayern odds 1.52 to be safe. Au mechi ya Andeletch kaka. Tafuta mechi ambayo ipo serious na matokeo.Barcelona-Leiceste GG?
ODD 1.74
STAKE 1000,000/-
KABLA SIJAFANYA MANG'ANA USHAURI WENU
Sawa chief...Utulivu kijana,
weka hela Real madrid Y, Andeletch Y. Huko kwingine wasije kukuharibia. Ukihisi unahamu na mechi nyingi Muongeze na copenhagen NY na Monaco Y. Hao wakina man u bado hawajielewi.
duuh! Kwa game za kirafiki zilivyo nakushauri bora uweke 3+ kuliko win lakini mwiso wa siku betting ni beting tu lolote lawezekanaBarcelona-Leiceste GG?
ODD 1.74
STAKE 1000,000/-
KABLA SIJAFANYA MANG'ANA USHAURI WENU
first half results tayari 3+ japo sikuweka duuuh!duuh! Kwa game za kirafiki zilivyo nakushauri bora uweke 3+ kuliko win lakini mwiso wa siku betting ni beting tu lolote lawezekana
Barcelona ni hatali
Usijaribu hiyo kitu kabisa. Ifuate Y ya madrid na bayern odds 1.52 to be safe. Au mechi ya Andeletch kaka. Tafuta mechi ambayo ipo serious na matokeo.
Dah..Young boys wananilaza njaa hapa, kazi ngumu hii.Wakuu nitupie
Barcelona Vs Leicester
Total goals over 6.5
Odd 3.80
Stake 200,000/=
Ushauri....
ungeweka over 5.5Wakuu nitupie
Barcelona Vs Leicester
Total goals over 6.5
Odd 3.80
Stake 200,000/=
Ushauri....