Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hongera mdau,

Kampuni nenda BETIKA,huko hakuna Cashout,ni wewe na roho yako tu

Na ndio maana Nasema huwezi kula Train SGR la Mamilioni kwenye Kampuni yenye Cashout,maana lazima itatoa tuuu,we umeweka Buku 2 then Cashout inasoma milioni 4, kwenye mkeka wa milioni 20,weeee natoa

Ila out of that ikiwa no Cashout utakuwa mpole
 
Sijui kwanini kwangu cash out inagoma Hata dakika ya 70
Chunga Sana option hizi SPORTYBET hazina Cash out!,
Win either half,

Home team or GG/Away team or GG(ukitaka cash out kwa hii option Haipo!.. ukitaka cash out...Tumia option sawasawa na hii- Away team clean sheet No/Home team clean sheet No-...

Ni option mbili zinafanana... Lakini ya juu Haina cash out!, ya chini ina cash out!

Pia option zote za "Special bets" hazina Cash out!... Kwa mfano; "Away team win & Over 1.5'

Wengine wataongezea....

Code zote za kimkakati huwa siweki option hizo... Ili kujilinda!
 
Naomba odds 3-4 za leo zenye asilimia kubwa ya kutoa
 
Huhitaji kulalamika mkuu, Elewa mantiki ya cashout,

Cashout ni mkataba wa maridhiano... Baina ya wewe kama mwajiriwa, na SPORTYBET kama Mwajiri...

Mnapeleka Shauri mahakama ya kazi (CMA)...

Katika hatua ya awali tu ya kwanza (Mediation) mnakutanishwa wewe na Mwajiri...

Mnaridhia kwa pamoja kuachana na hiyo kesi ...

Mwajiri(SPORTYBET) anakawambia akulipe mishahara ya miezi 6 unakubali... Kwa kuwa umepigwa doro mda mrefu mtaani....

Baadae unagundua wenzako waliokataa malipo kiduchu... Na kuacha kesi iendelee hatua ya MWISHO(arbitration -maamuzi)

Unagundua kuwa mahakama iliamuru walipwe mishahara ya miezi (36)... Huku wewe Bado ukiwa mtaani ... Umeshakula kale kahela kameisha!

Inauma sana... Ushauri! - Cashout kimkakati!... Pale tu unapoona huna namna nyingine ya kupata stake(kupata mtaji hata buku2 mtaani ni inshu!)

Mimi nna kiburi kwenye cashout mzee! Nikiwa nna uhakika wa stake... Hata unipe cashout ya laki 4 Bado mechi mbili Nile milioni... Sicashout mzee,

Niliwahi kusacrifice cashout ya 37,000 Bado mechi 2 Nile laki 4... Code ikachana....!

Code nyingine wakanipa Cashout 68,000 Bado mechi 2 Nile 390,000 Bado dk3...Nikakaza na ikatoa( Elewa hapa nilikuwa na uhakika wa mtaji! (Affording to lose such kind of amount)
 
Naomba odds 3-4 za leo zenye asilimia kubwa ya kutoa
Namalizia kunywa supu,
Baadae ntaweka hapa...

Katika kipindi kinachokuwaga kigumu kwangu kusustain kwenye code za 30k kuendelea.. ni hiki!

Nikifikiaga hapa huwa nadrop tena kurudi kule kwa Buku Buku...

Nahitaji umakini hizi siku 3... Ntaleta odds5 tu
 
hatari sana isee
 
Wacha nione kwanza ulimwengu wa punting unasemaje kuhusu game favourite za leo...

Then akili ya kushikiwa... Nichanganye na ile nilizaliwa nayo...na kile moyo wangu unaniambia ni sahihi!...

Siku , zote huwa nacode kufuatana na hisia zangu nini zinaniambia!...

Hisia zangu Jana ziligoma kabisa kwa liver...

Wacha tuone leo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…