Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duh! Al ahly3-0 al ittahad mpk saa hiv
 
Duu kweli mpira hautabiriki Yan leo Al Ahly anamkanda Al Ittihad mwenye kikosi cha gharama na wachezaji wakubwa!
Hivi hayo matimi ya Uarabuni kila siku tunayakataa hapaa hasa Al ttihad yani ni zero hiyo timuuu hata Mwadui anajichapiaaa.. hao mastaa ni upuuzi tu afadhali Al nasr kidogo anajitahdi kupata matokeo...!! Waarabu ni takatakaaa...
 
sAWA
 
Daaah uchawi kwenye mpira upo kabisa alahly ametoboa goal 3 mbele ya benzema , N'golo Kante, fabinho, jota ?

Muda si mrefu Tanzania tunachukua kombe la Dunia kupitia kina Boko.[emoji23][emoji23]

Nawasilisha Kwa unyenyekevu mkubwa sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Papaaa Boko bora kuliko Benzema
Mhh naleo Al ittihad atatukoma tutamfananisha mpaka na Mbeya City
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…