Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

WADAU hapo maana yake nini mechi nane zime loose kati ya 35 ila mkeka inaonyesha haujachanwa na pia wala sioni kama mkwanja umeingia
Alaaaaaa sasa wewe unaanzaje FORM One Bila Kuja na Vifaa vya Shule, Jembe, slasher,Fajio,ndooo,chupi sita.

Karibu Shule,siku nyingine usirudie.Mkeka umechanika.

Dahhhh,navuta picha kichwani unawaza nini ktk Betting Mdau pole saana,ILA jifunze mtaani betting KWANZA Ili uingie ukiwa na idea atleast 70% idea of betting
 
Duh nikajua haujachanika maana hawajauhamisha kwenye sehemu ya bet history upo kama open bet
 
MONACO ooooooooo

REBET iiiiiiii

Umechanika mikeka ya leo mpaka ya Uporo wa Kesho Shenztaiga

[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
nilipoona dk ya 80 nikapata mashaka sana, game za aina hii huwa inanitokea mara nyingi underdog anashinda.......
juzi feyenoord nae nilikua nasubiri ashinde, celtic wakapiga la 2 dk ya 90+
 
Ameflex bana
 
Hivi hayo matimi ya Uarabuni kila siku tunayakataa hapaa hasa Al ttihad yani ni zero hiyo timuuu hata Mwadui anajichapiaaa.. hao mastaa ni upuuzi tu afadhali Al nasr kidogo anajitahdi kupata matokeo...!! Waarabu ni takatakaaa...
Timu Bora Saudi Ni Al hilal ikifuatiwa na Al nassr zingine zote takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…