Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Redmi aka Xiaomi huna? Mtambo wangu unasumbua nashindwa kutimiza majukumu yangu kikamilifu kama "Afisa Ubashiri"
 
Barcelona au Man City isiyo na HALAND
Leo mmoja wapo anaondoka na roho za watu
Baselona vitoto vingi vinajua tuchenga ilihali timu inahitaji points tatu,,,,,

Tena wako away ni wangese ,,, kwenye mkeka wao usijipe uhakika sana ni mafala,,,, ila kwa gusa gusa utawapenda hawana haraka
 
Ni Bora kuiignore mechi ya Yanga! Odds 1.10!?... Huwa odds za kiwaki sana hizo... Halafu inaanza na over 2.5!...

Mechi za dizaini hii Yanga yuko kwenye form ndio ... Lakini inaweza kuisha kwa matokeo ya 1-0

Japo mtibwa yuko mkiani... Asipuuzwe!... Ikumbukwe Mtibwa Sio underdog!.... kivile kwenye soka la bongo...

Japo hana matokeo mazuri tunajua...

Lakini hii kwake ni big match! Watoto watataka kuosha majina!...

Ikumbukwe Mtibwa Sukari kwa miaka mingi imekuwa kama Chuo! Kwenye soka la bongo.

Ukitaka kuprove hili... Rudi nyuma Jana tu kwenye mechi ya Monaco na Lyon...

Zinapokutana big teams zenye majina makubwa...

Haijalishi either mmoja yuko mkiani ama mwingine yuko kwenye kichwa!...

Formula huwa ni ileile.. Nor big fish.. nor underdog!

Uamuzi ni wako ... Upigwe para!?... Ama usukwe Rasta!
 
pkurlucky
Kumbukanasadakakesjokanisan nambanileileeeee
Mancity ov 2 5
10.50
Oxford City ov 2.5
1.50

Tkt 2
ARKA GYDNIA WIN N 2+
1.70
WREXHAM GG
1.70

TKT 3
TORINO W
1.70
CHELSEA OV 2.5
1.50

TKT 4
LEEDS WIN
1.60
DONCASTER GG

1.70
Tkt 5
TRENCIN WIN
1.50
CHELSEA GG
1.70

TKT 6
YOUNGBOYS W N OV 2.5
1.90
PARTIZAN GG
1.50

MXB EACH ALLDBEST SADAKAINAPOKELEWA KUJENGAKANISALABWANA
0713458722
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…