Championship... Timu 2 tu Leeds na Leicester ndio naziguarantee msimu huuIpswich na Leicester wapo consistent sana
Hao hata high stake unaweka na usingizi unalala vizuri tu.
5A8FE08 betwayleteni treni la weeend
Upo vizuri sana JITU BANDIA , kama mtu anafuatilia na kuzipa tafsiri sahihi reply zako lazima apige pesa sana.Championship... Timu 2 tu Leeds na Leicester ndio naziguarantee msimu huu
Kw wafuatiliaji wa league 2 England.Championship... Timu 2 tu Leeds na Leicester ndio naziguarantee msimu huu
Code mkuuWeekend hii nimebetia TZS 303,000/=.
Inshallah bado mikeka inapumua. Huyu mchawi totenham bora nilimkwepa kumpa over 2.5 goals.
kama utaona hapo juu ninamikeka ya groups tatu; mkeka mmoja wa kushinda milioni 16, mikeka kadhaa ya kushinda bilioni 3 na mikeka kadhaa ya kushinda bilioni 5.
Inshallah mikeka itatiki weekend hii, amen.
Web version ya premier bet haina option ya kugenerate code.Code mkuu
Wrexham kwangu nna bahati mbaya na mwenzake Ipswich... Ni kama wako ON and OFF kwangu....Kw wafuatiliaji wa league 2 England.
Wrexham kama huwa namuamini sana.
Unatutia aibu Ofisini Kwetu mazeeWeekend hii nimebet na 10000 nisipokula sibeti tena mpaka mwakani January
Yupo sana online matee ila ilimbidi aache kupost code za kimkakati humu!πππππ
Mwenye kuacha betting au kupumzika hasemi.
Matee alikuwa ana Stake mpaka 250,000 kasepa kimyakimyaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah nyie jamaa..Yupo sana online matee ila ilimbidi aache kupost code za kimkakati humu!
Kuna macho humu Yana mikosi na laana za asili!...
Yakichungulia code yako... Tu!... Hiyo imeenda!... Kwenda lala!
Screenshot mech page moja au mbiliWeb version ya premier bet haina option ya kugenerate code.
Kama kuna mechi yeyote wewe uliza, nitakujibu tu. Ila iwe kwenye ligi kuu za Uingereza, Ufaransa, Uhispania, ujerumani, Ureno, Uscochi na Uholanzi. Hizo ndiyo pekee nimebobea.
Ligi zingine na/au mashindano mengine huwa sicomment kabisa. Sifuatilii chochote nje ya hapo.
kama unafuatilia championship msimu huu, mtoe leeds mweke ipswich..........Championship... Timu 2 tu Leeds na Leicester ndio naziguarantee msimu huu
Leeds wenyewe ni maboya sanaChampionship... Timu 2 tu Leeds na Leicester ndio naziguarantee msimu huu