both teams to score-YES
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 988
- 1,882
JITU BANDA Nakubali mawazo YakoNi Bora kuiignore mechi ya Yanga! Odds 1.10!?... Huwa odds za kiwaki sana hizo... Halafu inaanza na over 2.5!...
Mechi za dizaini hii Yanga yuko kwenye form ndio ... Lakini inaweza kuisha kwa matokeo ya 1-0
Japo mtibwa yuko mkiani... Asipuuzwe!... Ikumbukwe Mtibwa Sio underdog!.... kivile kwenye soka la bongo...
Japo hana matokeo mazuri tunajua...
Lakini hii kwake ni big match! Watoto watataka kuosha majina!...
Ikumbukwe Mtibwa Sukari kwa miaka mingi imekuwa kama Chuo! Kwenye soka la bongo.
Ukitaka kuprove hili... Rudi nyuma Jana tu kwenye mechi ya Monaco na Lyon...
Zinapokutana big teams zenye majina makubwa...
Haijalishi either mmoja yuko mkiani ama mwingine yuko kwenye kichwa!...
Formula huwa ni ileile.. Nor big fish.. nor underdog!
Uamuzi ni wako ... Upigwe para!?... Ama usukwe Rasta!
akiwa away mkimbie......Kw wafuatiliaji wa league 2 England.
Wrexham kama huwa namuamini sana.
ππππππ AlaaaaaaYupo sana online matee ila ilimbidi aache kupost code za kimkakati humu!
Kuna macho humu Yana mikosi na laana za asili!...
Yakichungulia code yako... Tu!... Hiyo imeenda!... Kwenda lala!
Hata hii ya MWISHO nimehofia kuituma kwaajili ya hiyo fear!
Na lazima Nile leo!... Taka usitake! Penda usipende!
Lazima Nile!
Umeandika ki kike kike SanaMkeka mzuri
Ila mie sijawahi kuchukua over 2.5 yenye odds 1.37...naona risk ni kubwa halafu odds ndogo
Kuipa team moja pia ipate goli kuanzia mbili mie naogopa
Hivi win to nill maana yake nini?
Away team clean sheet nayo ni nini maana yake?
Nyongeza
Celtic,Chelsea,Lyon,Osijek na nyingine kama tatu nimezisahau zipo kwenye ignore list
Asa uwe unaleta za sporty pia, ila sio lazma... ushauri tu3.67 OODDS
CEA958C
MXB
BETPAWAβ
Hapana hatuna Shaka,labda chelsea tu ndio gari la mgonjwaWatafutaji,kuweni makini na timu kama napoli, chelsea na barcelona leo namuona bundi anazengeazengea hapo!
Kwenye direct win nashauri umtoe Hertha Berlin, ,ni salama zaidi ukiipa hii mechi over 1.5 goals kuliko kuwapa win.Wadau nataka niweke direct win hizi timu..Ushauri Pls
CRVENA ZVEZDA
CHELSEA
CELTIC
RIJEKA
MAN CITY
PARTIZAN BELGRADE
WREXHAM
HERTHA BERLIN
Double chances hawa hapa
NEWCASTLE W/D
LEIPZG W/D
BARCA W/D
HANDICAPS
Dortmunds+2
ATLETICO MADRID+2
YOUNG BOYS+2
SEVILLA+2
HAMBURGER+2
MCHAWI NANI?
Daah kwel kuna muda unaogopa Kutuma code ukihofia kitiliwa kimavi jamvinYupo sana online matee ila ilimbidi aache kupost code za kimkakati humu!
Kuna macho humu Yana mikosi na laana za asili!...
Yakichungulia code yako... Tu!... Hiyo imeenda!... Kwenda lala!
Hata hii ya MWISHO nimehofia kuituma kwaajili ya hiyo fear!
Na lazima Nile leo!... Taka usitake! Penda usipende!
Lazima Nile!
31A41091 editedC04EEA
SPORTYBET
Code Name: KUSADIKIKA!
Toa wayforward, maelezo ni mengi. Binafsi sijaelewa.JITU BANDA Nakubali mawazo Yako
Ila kwa YANGA hiii na Mtibwa hiii ya sasa, hapana anakula za Kutosha mnoo
Atleast Angekuwa Kocha Nabi alikuwa anaafanya Rotation ya wachezaji ILA Gamondi kupara ambae bado anajitafuta aisee Balaa lilelile la First Eleven.
Mtibwa currently wanashida kubwa mnooo,Good that Matches zao nyingi nazio either Home au through my AZAM Max kwenye Sim.
Mifumo yao hairuhusu kwa aina ya wachezaji walionao kwa sasa,na hata Ukiangalia walivyocheza na KITAYOSE wakala mbili nikwamba wanapoteana mapema.
AZAM amlimchapa zile 5 ndio ilitakiwa waanze kutafuta Jina,ILA sio kwa YANGA.
Mpira unadunda ila Mtibwa kwa YANGA over 2.5 ningeweka 9,000 with other matches
Weekend hii nina mikeka kadhaa, hadi wa odds laki mbili.Daah kwel kuna muda unaogopa Kutuma code ukihofia kitiliwa kimavi jamvin
Kwa mfano hapa Nina odds 1.60 nimetia mzigo mrefu Sana
Sasa nijichanganye nitume code uone
Msaada hapa wakuuWakuu hii option ina maana gani huko 1xbet[emoji116][emoji116],,, Goals in a row by single team View attachment 2844028
Mshana Jr , UMUGHAKAππππππ Alaaaaaa
Aisee nimejifunza JITU BANDA
Blessed
Hasa macho ya NALIA NGWENA aisee hutoboi na like sura lake kama Zombi ndio kabisaa
Sure Hassad ya Macho ni mbaya mnooo Tena mnooo,na mbaya zaidi mwenye Hasad hiyo mwingine hajijui kama anatembea nayo na anaishi nayo,Mbali na wale ambao nafsini kwao ipo ya asili ma dhahiri
Siunaona hata MSHANA jr wa Tiba Mbadala yumo humu kimyaaaa.
Magoli yafuatane, mfano timu ifunge goli mbili mfululizo bila nyngne kuscore Hapo katikatiMsaada hapa wakuu