Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 11,049
- 10,502
Magoli yafuatane, mfano timu ifunge goli mbili mfululizo bila nyngne kuscore Hapo katikati
Goals in a row for a single team.Magoli yafuatane, mfano timu ifunge goli mbili mfululizo bila nyngne kuscore Hapo katikati
Hawa wawili ni guruz wa jf, nimefarijika kuona comments zao kwenye huu uzi.
Ndio yaan idadi ya magoli single team itascore kwa kufuatana bila mpinzani kuscore, mfano home team anascore la kwanza la pili la tatu af baadae away anascore 1 mechi Inaisha 3-1, home team amescore 3 goals in a row, km angefunga la kwanza la pili af away akapata Moja baadae home akaongeza la tatu, mechi ingeisha vilevile 3-1 ila home team amescore 2 goals in a rowGoals in a row for a single team.
Shukrani mkuuMagoli yafuatane, mfano timu ifunge goli mbili mfululizo bila nyngne kuscore Hapo katikati
Hii code mbn inagomaWeekend tunaishi kibabe na tren letu
Campn:betpawa
Odds 80+
CODE: 1D1644B
Wamerudisha bonus?Weekend tunaishi kibabe na tren letu
Campn:betpawa
Odds 80+
CODE: 1D1644B
Leta codes acha siasa...ikitiki hio ukaupost huku ndo utasemwaWeekend hii nina mikeka kadhaa, hadi wa odds laki mbili.
Sijashare humu kwa sababu wengi mkeka wako ulioshare humu ukichana dhihaka zinakuwa nyingi sana.
Mechi ipi ya weekend hii wataka ufafanuzi?Leta codes acha siasa...ikitiki hio ukaupost huku ndo utasemwa
Timu uliyochagua ifunge goli kadhaa mfano (2) au (3) mfululizo bila mpinzani kufunga goli.Msaada hapa wakuu
735F7883 editedHili ni Treni chagua zako likate odd 3000 source Nigeria 8300C501 sportbety
Acha bac ...Mechi ipi ya weekend hii wataka ufafanuzi?
Haiwez ku convertiw kuw BP..?735F7883 edited
0AF94B0 editedSportybet Code: E0C372
Good luck
Betpawa utapeli nakushauri tu uwakimbie ..hutaona hela huko hata one dayHaiwez ku convertiw kuw BP..?
Uliza swali, funguka.Acha bac ...