Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ngoja nilale nitakuja na jibu kesho[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Wakuu kesho tusisahau kwenda misaa ya kwanzaa au ya pili ili kupunguza gundu huenda mambo yakakaa sawaaa
 
Aisee huyu Napoli bado kidogo andoke na roho yangu πŸ˜’ kama anashinda mara kama anafungwa, mechi hii alibidi ashinde zaidi ya 2
 
Raha ya kucheza option ya (direct win or GG) inakuja pale unapoangalia matekeo Live unakuta zile timu ulizo ipa hiyo option zinaongoza 😊 .....hapa unakua unajua kabisa uhakika kwasabab ili timu pinzani ishinde au i draw basi inabidi isawazishe, which kimantiki itakua teyari ishatoa GG kwahiyo unakua umeshinda pia πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…