Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nichangie tu kidogo japo neno langu sio sheria wala ukamilifu ila ni maoni tu na ningependa tu kuchangia! Kuna baadhi ya mechi kanji anatudhurumu sana na kutupumbaza kwa odds ndogo! Mfano mechi ya Bayern liverkusen ana odd 1.35 kushinda na anacheza na Frankfurt ambaye majuzi katoka kumpiga bayen Munich goli 4! Na GG yao ina 1.80 ambayo ina asilimia kubwa ya kutoa kuliko huyo Leverkusen kushinda! Sikatai liverkusen yupo kwenye form ila leo hata akishinda atakuwa Kamwaga jasho na damu maana hawa watoto wakiingia na ule moto wao kama waliocheza na Bayern Munich itakuwa hatari! Mechi ya liver na kibonde Man u nayo liver kushinda ana odds 1.35 na anacheza na Man U kweli hizo odd ndogo hivyo ni reasonable?? hata kama man u ni kibonde ila uwezekano wa man u kutoa goli ni mkubwa kuliko liver kushinda hivyo GG hapa ina asilimia kubwa odds 1.60! Mechi ya Bayern anacheza na stuttgart ni mechi ngumu ambayo kama Stuttgart watawakia kwenye Gia hata Bayern anaweza kufa maana Stuttgart wana mpira mzuri pia! hivyo GG hapa tena ni salama kuliko kumsubiri Bayern ashinde na odds zake ndogo 1.43 mechi ya Madrid na odds zake 1.25 ndogo anacheza na Villarreal ambayo huwa wana upinzani hata kama Villarreal haipo kwenye form kuipa ushinda Madrid kwa odd 1.25 ni kujitakia vilio badae
 
Do you wanna be a millionaire!?... So fucki** bad!....
Smile next to Oprah and queen!?

4847636

Do you wanna be on a cover of Forbes magazine!?

Nimekuchanganyia madudez!... Kama una akili timamu, unaelewa hapo!!...#KIMKAKATI!
 
Me nampa ushindi Madrid ,kwa Nini sababu kwenye league yupo nafasi ya pili point 39, na Girona point 41 match played both 16, kapitwa point 2 na Girona , sare inazidi kumuweka chini, kwa hiyo lazima ashinde Ili apunguze gape , na kumbuka wote wanamechi sawa, Madrid win vs Villarreal
 
Option moja uliyoweka humu sijawahi kufikiria kama ipo sportybet

Nwei,kila la heri kwa watakaofuata
 
Inavyopaswa kuwa vs halisi jioni
 
Unachekesha
 
Naona Bora nitumie Sportybet mana loose ya timu moja tu imekua endelevu sana, nitumie ile one cut, bora tugawane kuliko kukosa kabisa maana stake zinaungua tuu
 
Mkeka wa kimkakati huku, nimeuchukua ila nimeondoa options za "Anytime goal scorer"
 
Safina ilizama na kuua maafisa wote pale tu ulipoleta code humu πŸ˜‚
 
Hii code, mechi 5 ziko perfect kabisa... Zimeniinsire kusuka code kupitia hii code...

Ntabadili markets kwa timu 4 ... Ikiwemo ya Sigma na PLEZEN inaenda kwa GG labda, na sio kumpa Sigma mazima No!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…