mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
joanah the gambler, kumbe ni kweliπFAE4193
BP..odds 12
Usiweke mbupu
joanah the gambler, kumbe ni kweliπ
Kwaiyo Leverkusen kashakojolewa sio?Duu kanji huyu ni genius Yan kaniwekea odds 1.94 ya GG kwa Frankfurt nikaogopa naona mbona odds nyingi hivi kuna nn kumbe kanitega tu ili niache! Nachek mpira hapa Frankfurt wanaupiga vizuri tu na Leverkusen kashakojolewa kimoja hivyo GG hapa itatoa daa kweli uoga wako ndo umaskini wako
Leverkusen anaongoza mojaDuu kanji huyu ni genius Yan kaniwekea odds 1.94 ya GG kwa Frankfurt nikaogopa naona mbona odds nyingi hivi kuna nn kumbe kanitega tu ili niache! Nachek mpira hapa Frankfurt wanaupiga vizuri tu na Leverkusen kashakojolewa kimoja hivyo GG hapa itatoa daa kweli uoga wako ndo umaskini wako
Dalili mbaya za Betting hizi,uzeeni si itakuwa shidaDuu kanji huyu ni genius Yan kaniwekea odds 1.94 ya GG kwa Frankfurt nikaogopa naona mbona odds nyingi hivi kuna nn kumbe kanitega tu ili niache! Nachek mpira hapa Frankfurt wanaupiga vizuri tu na Leverkusen kashakojolewa kimoja hivyo GG hapa itatoa daa kweli uoga wako ndo umaskini wako
πππ kanjii kanichanganya kwa vipigo mpaka jezi naona kama za Frankfurt kumbe waliofunga ni LeverkusenKwaiyo Leverkusen kashakojolewa sio?
Aisee angalia huenda ngumi za kanji zimeshaathiri ubongo wako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah...Hizi kazi hizi aisee.Niongeze bia sasa mwendo nimeumaliza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakuu tuache utani betpawa kumpiga ni kazi sana! Ndio maana akichakazwa anachakazwa kisawasawa maana daaah!Niongeze bia sasa mwendo nimeumaliza