Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Almost week moja tu imebaki tuanze kutengeneza pesa kwa ligi za uhakika, championishp kwa magoli haiwez kumwangusha mtu aisee, na league one
 
wakati bankocep wakinipa notficationa kuwa timu 9kati ya 10 wametabiri correctly sisi humu ni vilio tu
Notification una enable sehemu gani mkuu kwenye hii application ya bankocep cz jamaa wapo vizuri sana ukitulia na ukawa unawafuata mdogomdogo unaweza kila cku ukawa unatengeneza pesa tu
 
Notification una enable sehemu gani mkuu kwenye hii application ya bankocep cz jamaa wapo vizuri sana ukitulia na ukawa unawafuata mdogomdogo unaweza kila cku ukawa unatengeneza pesa tu
Mkuu hii bankocep I napatikana wap mkuu.. msaada tafadhali. .
 
Mkuuu upe mwili muda wa kupumzika.....
 
Alfu mkuu kuna zile game za uholanzi Nao kwa magoli sio wabaya ila hizi game za ufumbuzi dah
Yaaaa eereste divisie na eredivisie (daraja la kwanza na ligi kuu ) uholanzi pia zinaamza Leo wanatoa sana 2+ ,gg na goal in both halves au goal ina each half,3+....
 
Niaje wazee tujaribu za mapema kabla ya saa tisa kiwe kimeshaeleweka kama kawaida nahitaji odds 4 after VAT nani hafai hapo japo mie hao jamaa nawaaminia.
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-05-09-34-01.png
    22.6 KB · Views: 35
Yaaaa eereste divisie na eredivisie (daraja la kwanza na ligi kuu ) uholanzi pia zinaamza Leo wanatoa sana 2+ ,gg na goal in both halves au goal ina each half,3+....

Plus wa German wanaanza Leo 2 league
 
.......twajaribu na hizi ligi, atakayeokoteza haya. Ligi ya kubeti ndo inaanza, Kanjibai anaongoza dhidi yetu 😑😑😑
 

Attachments

  • @nd.png
    8.2 KB · Views: 35
Ukifwatilia sana mpaka unakesha utarun mental mkuu acha tamaa pesa ziko kila siku. Tamaa ndio inayotuumiza kila siku vilio eti kanjibah analoga sana mara anaomba sana..
Hii kitu ni bahati nasibu.. Usishangae hiyo 900k ikarudi kwake yote bila kutumia jicho la tatu.. Kila la kheri mechi za leo 2+ 3+ GG zakutosha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…