Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

cku bado mbichi ngoja nitafute odd 4 za ucku nirudishe kilicholiwa leo.
 
bet lost but I am still as HAPPY as always coz this game does not require any ANGER. let me try my luck once again.
[emoji5] [emoji23] [emoji23] that's right man, life goes on.
 
Huuu mpira huu Valencia n wakugongwa 2 na castle palace halftime
 
Hahahahahaaa...kweli vipigo vya mfululizo vinachanganya sana, mlikuwa mnanicheka mimi wiki kadhaa humu, sa mfano hao wenye odds za 1.03 wakitoa 0-0 na umeweka 100K utalalamika? Kweli unacheza laki upate elfu tatu?
hahahahaaa unanifurahisha sana etii elfu 3...teteteteeee
 
haiko yenyewe 0.3 angalia mkeka huo.. labda umetupia kitu kumkichwa?
Hahahahahaaa...kitu kumkichwa lazima unazani hii kazi bila konyagi inaenda? nimetolea tu mfano kwamba haifai kupoteza pesa kwa odds za aina hiyo unless otherwise liwe kokoro then stake ya kukusanyia mtaji.
 
naweeka stake mambo motto baada ya masaa ma 3 na log in meridian pamewaka mottoπŸ˜€πŸ™„πŸ™„
 

Attachments

  • upload_2016-8-6_18-32-37.png
    8.7 KB · Views: 41
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…