AfisaUbashiriMwandamizi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 794
- 1,139
Hii timu inacheza ligi ya wapi?APOEL apate Goli Naye, Anaongoza Ligi anashindwa Kufunga muda wote huu
Hii timu inacheza ligi ya wapi?
wewe utakuwa ni mke wa twalal bungeraGame za Afcon kama kawa under 2
Mkuu naona ulikuwa unampiga Kanji kimya kimya [emoji23][emoji23]Kumekucha kumekucha wakamalia
Mkuu naona leo umetokea.. hii ni ishara kesho Kanji atapigwa vibaya sana[emoji23][emoji23]Game za Afcon kama kawa under 2
Hahaha lazma kesho akae ama zake ama zetuMkuu naona leo umetokea.. hii ni ishara kesho Kanji atapigwa vibaya sana[emoji23][emoji23]
Apoel nikosia [emoji867][emoji867] mnakatwa
Yaani Timu Inaongoza Ligi, Imeshinda Mechi zake zote, Inafungwa na Team ambayo ni ya mwisho, na Ipoteza mechi zote [emoji2369
Alafu anakujaa Falaa mmoja anakwambia Unachagua mechi zako 2[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji706]Sometime betting inakuwa haiko fair kbsa yani lafu dizaini kama fixed