Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

LUTON TOWNNNNNNNNN[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
 
ooh breakfast hii tujaribu ili tunywe maziwa fresh na mayai asubuh[emoji4], sportbet tu, site zingine hawahaweka cournes options kwa hizi match.

code : 8B23E5B

2 odds
 
Game za Afcon kama kawa under 2
This thread is your legacy....! Landmark!...Like a Zion mountain...!

Watoto waliozaliwa wakati huu uzi unauanzisha... 2013.....Mwakani na wao ...eti...wanaanza kusuka mikeka...! Halafu Waanze kutuvimbia humu!

Big up dude! Umetukusanya kwenye Kijiji cha ujamaa!... Kama enzi ya mwalimu.... Lakini humu sio ujamaa tena!.... Fish anakula fish!..(Life of the sea!)Only the fittest will survive!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…