Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

We jamaa ni boya sana. Anzisha uzi wako uwe unaandika matusi na code zako mwenyewe.
Jamaa nae anamtafuta ubaya... alishakataa asiedit code zake. Aedit code za wengine za huyo aache.

Halafu kama umechunguza jamaa hajaedit code kitambo.. ameanza na hiyo ya Jitu. Kwa hiyo kuna namna wanachezeana akili hawa.
 
Jamaa nae anamtafuta ubaya... alishakataa asiedit code zake. Aedit code za wengine za huyo aache.

Halafu kama umechunguza jamaa hajaedit code kitambo.. ameanza na hiyo ya Jitu. Kwa hiyo kuna namna wanachezeana akili hawa.
Ku edit code sio mbaya mbona mkuu. Binafsi sioni kama kuna shida. Ila huyu jamaa ni mkuda mkuda, ujuaji na umama mwingi.
 
Umeongea fact mkuu, mbona sijawahi kumuongelea member mwingine tofauti na huyo simbajike!?.... Sijui anachonitafuta mpaka sasa!

... Mimi huwa naheshimu kila code ya member... Nikiiona, ikanipendeza, nastek kama ilivyo... Ili nione upepo wake ...

Then naedit kimya kimya zile mechi ambazo nna doubt nazo....

Sijawahi muona huyo jamaa akisuka code yake mwenyewe zaidi ya kudandia kama yuko heat period..

Inapendeza kila mtu akiweka code aliyochambua mwenyewe ili kuchanganya ladha... Na kujaribu bahati ya kila mtu maana nyota zinatofautiana...

Yeye kutwa kudandia tu!

Anafikiri tunatumia makalio kuchambua... Kama anavyotumia makalio kuedit! Kutía tia nuksi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…