Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

We jamaa ni boya sana. Anzisha uzi wako uwe unaandika matusi na code zako mwenyewe.
Jamaa nae anamtafuta ubaya... alishakataa asiedit code zake. Aedit code za wengine za huyo aache.

Halafu kama umechunguza jamaa hajaedit code kitambo.. ameanza na hiyo ya Jitu. Kwa hiyo kuna namna wanachezeana akili hawa.
 
Jamaa nae anamtafuta ubaya... alishakataa asiedit code zake. Aedit code za wengine za huyo aache.

Halafu kama umechunguza jamaa hajaedit code kitambo.. ameanza na hiyo ya Jitu. Kwa hiyo kuna namna wanachezeana akili hawa.
Ku edit code sio mbaya mbona mkuu. Binafsi sioni kama kuna shida. Ila huyu jamaa ni mkuda mkuda, ujuaji na umama mwingi.
 
Tip 1

2.38Odds
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20240113_104147.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

JITUME BANDIA kavurugwaaaaaaaaa

Fungua account nyingine aisee lazima JF waku Bann

Yote kwa Yote sometimes unapotumia numbers of hours and time to fix the mkeka and mjuaji mmoja mwenye Nyota ya Duduvule akiigusa tu nuksii

Halafu mbaya zaidi utakuta yeye anasubiria tu watu waumize vichwa na pesa zao za MB Ili akipata Code basi Kazi yake ni kuitumia hiyo hiyo ionekane ametulia kuchambua mikeka kumbe hata MB 2 hajatumia.

NALIA NGWENA na SIMBA KALIA nasikia wamejinyonga
Nimepata taarifa hivi punde
Sijui ni kweli,haya,kama Uongo watakanusha wenyewe ukiona kimya ujue Marehem
Umeongea fact mkuu, mbona sijawahi kumuongelea member mwingine tofauti na huyo simbajike!?.... Sijui anachonitafuta mpaka sasa!

... Mimi huwa naheshimu kila code ya member... Nikiiona, ikanipendeza, nastek kama ilivyo... Ili nione upepo wake ...

Then naedit kimya kimya zile mechi ambazo nna doubt nazo....

Sijawahi muona huyo jamaa akisuka code yake mwenyewe zaidi ya kudandia kama yuko heat period..

Inapendeza kila mtu akiweka code aliyochambua mwenyewe ili kuchanganya ladha... Na kujaribu bahati ya kila mtu maana nyota zinatofautiana...

Yeye kutwa kudandia tu!

Anafikiri tunatumia makalio kuchambua... Kama anavyotumia makalio kuedit! Kutía tia nuksi!
 
Back
Top Bottom