Anonymous77
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 589
- 1,515
Lakini bonus mbn ipo kwa oddz za 1.25 japo hata mm sijapenda wangetoa mashart ilirud kama zamani maana options zao ni chacheTokea waanze kuondoa bonus kisa wamepigwa afu hela wanazingua kutoa tukaona matapeli tu
thanks boss[emoji4]buswagg jana umefanya nikapata pesa....zawadi yako nitakupa au utachagua mwenyewe
Pamoja sana SimbaMpole123B876F11 edited
Toka uanze kucheza pawa 6Ambao hamna mitaji nataka niwasaidie kidogo, naomba mje kwangu niwasaidie kidogo mkaigie mkacheze pawa 6 betpawa [emoji16]bureee ipo kule ni wewe tu
Angalia chati za huu uzi tokea leo asubuhi, codes nyingi zimetumwa tayari.Leo nayo ni siku kama siku nyingine. Ndugu maofisa ubashiri leteni hiyo mikeka tukopi basi.
Muelewe na msamehe bure jitubandia, hakika ni critical thinker. Huwa naona arguments zake na rationale za maamuzi yake kwenye mechi husika.We jamaa ni boya sana. Anzisha uzi wako uwe unaandika matusi na code zako mwenyewe.
Hii mechi iliishaje?Sevilla ndio hata goli moja hapati?
Kuna siku ajax aligongwa na timu yenye odds 22 hadi pombe zilitoka kichwani.Betting kitu hatari sana unaweza kuchagua hata team ya odd 1.01 na ikapgwa na team haijawai haijai shda match hata moja tena unashangaa mtu anapgwa 3 Nil na alikuwa na odd 1.01
Kukopy toka wapi? Humu jf kwenda BP au BP kwenda jfMsaada namna ya kucopu code bp inanishinda
Jf to bpKukopy toka wapi? Humu jf kwenda BP au BP kwenda jf
Hatari sana, hayo matokeo ya kushangaa hutokea. Ila ni mara chache sana.Kuna siku ajax aligongwa na timu yenye odds 22 hadi pombe zilitoka kichwani.
Huko sportpesa maximum wining ni ngapi kwenye mkeka?Kampuni sport pesa.
Odds: 134,678.99
Weka hata 100. Tukautafute utajiri pomoja. Usikubali hii fursa ikupite.
Angalizo: Hii ni ngumu kumeza inahitaji wenye roho ngumu tu.
Code: 4upVb3
Palepale kwenye code husika pabonyeze na kushirikia hadi panakuwa selected kwa kutokea rangi tofauti juu yake, then kuna maandishi yatajitokeza juu yako. Kabonyeze option ya copy.Jf to bp
More than 200m.Huko sportpesa maximum wining ni ngapi kwenye mkeka?
Watakuwa wameongeza basi, walivyoingia Tz ilikuwa ni max milioni 30.More than 200m.
Kwa Nini wapanic...why sisi miaka yote wanatula hatubadilishi masharti ila wao kidogo tu Mara no bonus Mara 1.35 Mara Nini huu ni utapeli...ndo maana wahuni tumewakimbia..nyie ambao bado mpo mkishinda mtanishtuaLakini bonus mbn ipo kwa oddz za 1.25 japo hata mm sijapenda wangetoa mashart ilirud kama zamani maana options zao ni chache
Kipindi kile wanasema wameliwa zaidi ya bilioni 600 walisema mtu mmoja aliyekula pesa nyingi zaidi alikula milioni 600.Kwa Nini wapanic...why sisi miaka yote wanatula hatubadilishi masharti ila wao kidogo tu Mara no bonus Mara 1.35 Mara Nini huu ni utapeli...ndo maana wahuni tumewakimbia..nyie ambao bado mpo mkishinda mtanishtua
DuhKipindi kile wanasema wameliwa zaidi ya bilioni 600 walisema mtu mmoja aliyekula pesa nyingi zaidi alikula milioni 600.
Sasa hivi wamekaza zaidi naona ushindi wa mkeka hauvuki milioni 120. Ila bado wananafuu kiasi kuliko betting sites nyingi hapa Tz. Kwangu naona betpawa wanaweka zidiwa na betway na premier bet pekee.