Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

We jamaa ni boya sana. Anzisha uzi wako uwe unaandika matusi na code zako mwenyewe.
Muelewe na msamehe bure jitubandia, hakika ni critical thinker. Huwa naona arguments zake na rationale za maamuzi yake kwenye mechi husika.
Naamini ipo siku atampiga kanjibai parefu sana.
Kuna matokeo kama ya mechi za tarehe 15 - 17 Septemba 2023 yakijirudia ni lazima kanjibai alale na viatu.
 
Lakini bonus mbn ipo kwa oddz za 1.25 japo hata mm sijapenda wangetoa mashart ilirud kama zamani maana options zao ni chache
Kwa Nini wapanic...why sisi miaka yote wanatula hatubadilishi masharti ila wao kidogo tu Mara no bonus Mara 1.35 Mara Nini huu ni utapeli...ndo maana wahuni tumewakimbia..nyie ambao bado mpo mkishinda mtanishtua
 
Kipindi kile wanasema wameliwa zaidi ya bilioni 600 walisema mtu mmoja aliyekula pesa nyingi zaidi alikula milioni 600.
Sasa hivi wamekaza zaidi naona ushindi wa mkeka hauvuki milioni 120. Ila bado wananafuu kiasi kuliko betting sites nyingi hapa Tz. Kwangu naona betpawa wanaweka zidiwa na betway na premier bet pekee.
 
Duh
Huyo aliyekula 600m ni mwamba kwelikweli
 
Back
Top Bottom