Anonymous77
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 589
- 1,515
Ayaa ππ unatiaje laki tatu kindez hvyo si ungesema usaidiweKuna odd mbili Jana nimeokota humu bado game ya buyer leverkusen ikachana niliwapa over 1.5 nilitia laki Tatu sasa siusenge huu
Olympiacos sio timuuu na mwenzake AEK hiyo ligi ni taka takaaNimeona olympiacos moyo ukashituka. Ana mikeka miwili ananichania peke yake andazi huyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aliambiwa weka mke akawekaaaa...Ayaa [emoji24][emoji24] unatiaje laki tatu kindez hvyo si ungesema usaidiwe
Mpe chuma hichoo πEndelea kujifunza, utavuka steps zote hizo. Baadaye utakuwa na ngozi ngumu kama Drake.
Ukute mtu alieziweka ni wakala wa muhnd kwl π[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aliambiwa weka mke akawekaaaa...
Ndio maana kuna ANGALIZO Mkuu wewe angalia halafu jiongezeDu! Hizi prediction hizi:
View attachment 2871264
sasa pesa yote hiyo unampa muhindi akaendelee kununua matambuu ...Kuna odd mbili Jana nimeokota humu bado game ya buyer leverkusen ikachana niliwapa over 1.5 nilitia laki Tatu sasa siusenge huu
Umenena vema mkuu. Asa mtu akidhani mtu ni wakala wa Kanji afu akajichomeka mwenyewe anamlaumu nani si ajilaumu mwenyewe? Mtu unaona kabisa hii ni SUMU lakini unainywa, what do you expect?Acha kulaumu watu afu ukihisi mtu ni wakala wa kanji unaachana na code zake mbona simple sana broo
Ligi za Italy na France kuweka straight win sometimes ni use.nge aisee!Mpira wa Lazio kama wako siliazi Lecce anakufa hata kwa goli tatu,,,,,
Sema Italian league betting ndo inawatoa kwenye utu,,,, ila Lazio watamu kisoka aisee
Odd mbili utaweka buku???? Umasikin wenu usitake wote tuonekane njaa Kalisasa pesa yote hiyo unampa muhindi akaendelee kununua matambuu ...
Machungu Na Makasiriko Ya Kupigwa Na Kanjibahi Wanamtupia Asiyehusika Kweli Soko Gumu.Umenena vema mkuu. Asa mtu akidhani mtu ni wakala wa Kanji afu akajichomeka mwenyewe anamlaumu nani si ajilaumu mwenyewe? Mtu unaona kabisa hii ni SUMU lakini unainywa, what do you expect?
Wanazingua sana,,,, unakuta timu imemzidi mwenzake kila kitu uwanjani,,,, utashangaa hakunaga magoli alafu dk za jioni wanajifanya kuchangamka na kosa kosa mingi mara ft 0:0Ligi za Italy na France kuweka straight win sometimes ni use.nge aisee!
nazaa nayo hiii mkuu
Kwani we ukuziwekaWatakuja toa mrejesho hapa waliozicopy.